Habari za Kazi Ankal.
Pole na Majukumu ya Kila siku ikiwa ni pamoja na endelezaji wa Libeneke.
Ankal Naomba unitangazie kwenye globu yetu ya jamii kuwa Ninauza BATTERY YA LAPTOP SONY VAIO VGN-N150P - Aina ya Battery Hii MPYA ni VGP-BPS2, haijawahi kutumika. BEI ni 150,000 TSh.


Sababu ya Kuiuza ni: Nimeagiza Battery kwa ajili ya Laptop Yangu VGN-N220R kwa kudhani itafit na kwa bahati mbaya Haziingiliani, kwakuwa imeagizwa nje ya Nchi na Muda wa siku 14 umeshapita sina budi kuiuza kwani haitowezekana kurudishwa dukani. Hivyo basi natoa angalizo kwa Atakayenunua Itabidi Aje na Laptop yake ajaribu kama Itaingia ili kuondoa usumbufu.
Asante kwa Ashirikiano.
Napatikana kwa Simu namba 0713458746, Nipo Dar.

Shukran.
Mdau wa Malaptop

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    Wewe kweli ulichemka,wewe ulifikiri zingeingiliana.IMEKULA KWAKO

    Siku nyingine kabla ya kufanya solution katika kompyuta,au gari au kifaa kinachohitaji cha kieletronic inabidi uonane na wataalamu wakushauri.

    Nashukuru umejifunza hutarudia tena.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2010

    Mie ni mdau niliye nje ya nchi .Nauliza macase(housing) ya Desktop yanapatikana kwa bei gani Tanzania.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2010

    Tangazo safi kabisa. Wadau wengine mnaoleta matangazo hapa kwa Michuzi chukueni desa hapa.

    Wewe mdau wa kwanza kutoa comment hapo juu ungekaa kimya tu, maana huna point.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2010

    duh sasa betri laki 1.5 sasa si afadhali uongezee kidogo ununue laptop ingine,all the best upate mteja

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2010

    Yeah kwa mwendo huo ni hatari....Almost three times the cost..Walikulangua sana huko ulikonunua... See this one here Sony Battery New with Warranty

    Mkitaka vitu kama hivyo semeni hapa kwa Michuzi tutawasaidia kuwanunulia huku na kukutumia ila na nyie mplay part yenu huko kuwa waaminifu...Huku vitu rahisi lakini wengi wa wauzaji hawataki kuship nje ya nchi...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2010

    Mdau wa mwisho naomba contact zako

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2010

    Watanzania Acheni kubwabwaja... Mdau Tarehe Mon Jul 05, 05:27:00 AM, Sema ulipo na Unapozipata Hizo battery... Sony wanauza bei mara mbili ya iliyotajwa na Mdau hapo juu http://www.sony.co.uk/product/batteries Sasa kabla hujaanza kurooka Consider dunia ina sehemu nyingi na kila sehemu ina bei zake na exchange rate zake...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...