The official Bantu Party is here....The hottest party in town . Usiku wa kubanjuka, njooni tufurahi,tucheze, tunywe na tule vyakula vya kinyumbani ......Mandazi, Pilau,Kachori, Katless,Sambusa, Chapati,Vitumbua ,Bajia,nyama choma, na vingine viiiiiiiiiiingi
ALL FREEEE!!!!!! !!!!
doors open @9pm.
You don’t want to miss this event...
music by the hottest DJ in town Dj candyman…..
Usingoje kusimuliwa!!
Come and party untill morning.
See you there
Date: Saturday July 10th, 2010
Location:
101 Lotherton Pathway,
North York, Ontario.
M6B 2G6 (Lawrence and Calidonia)
Contacts
Admission: $10
Aisha 647-520-9842
Dora 647-204-5509
Email: bantuparty@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    Je kuna ulinzi? manake siku za nyuma mpaka polisi waliitwa pati huwa za nguvu ila inatisha mambo ya polisi hayo wengine hatuna karatasi huku ila tunataka kuja kujirusha na kupoteza mawazo.

    mabaunsa wawe wetu wenyewe na wa nguvu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...