




Mafumu Bilali Bombenga, Saidi Mabera na Juma Ubao
Toka shoto ni Shabani Lendi, Yusufu Joseph, Mafumu Bilali Bombenga, Saidi Mabera, Muhidin Maalim Gurumo, Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii, Kabeya Badu na Hassan Rehani Bitchuka 'Super Stereo
Toka shoto ni Abdul Salvador 'Key-devu' Komandoo Hamza Kalala na Saidi Mabera
Mdau wa Chelsea Club ya Helsinki (kuume) akiwa na mdau
Vijana wa zamani kibao walikuwepo
Nyuzi bin nyuzi zikipishana. Hapo ni Hamza Kalala, Saidi Mabera na Juma Ubao. Nyuma yao ni mchawi wa kupiga kinanda Abdul Salvador 'Key-devu'.





wapi mzee gurumo kasongo mpinda bichuka,kasim mapili kankukeli,ama mmechaguana ?
ReplyDeleteHuyo DJ Jay kama Masoud Masoud !!!!!
ReplyDeletewee ananoy wa kwanza sio kabisa bichuka mbona yupo? Halafu mbona kama watu walikuwa wachache? weka kideo cha youtube basi tuburudike wabeba box
ReplyDeleteThis is the only thing I can say I HAVE MISSED BEING OUTSIDE TANZANIA. TRUE MUSIC, TRUE TALENTS, TRUE LEGENDS. tO HELL WITH BONGO FLEVA NONSENCE.
ReplyDeleteMswahili utamjua mazuri yote hayaoni anatafuta mabaya. Gurumo alikuweko,Bichuka alikuweko, Kelly yuko nje ya nchi, na si rahisi wakongwe wote kuwepo....
ReplyDeletewapi John kitime mnene wa Jodanah kama nakuona vile unavyopenda raha.
ReplyDeleteMasikitiko kwa sisi tuliokuwa mbali haya si mambo ya kuyakosa,hata hivyo nimefurahi kuwaona vijana wenzangu wa zama za kale,hapakukosekana zaidi ya ndugu zetu marehemu waliotutangulia.
ReplyDeleteNakuona balozi John Kitime na DJ John Peter`s umenikumbusha mbali wapi dada Jullie Peters wangu zilipendwa kama bado yupo mpe salaam zangu mwambie kama bado anaikumbuka "Sea View Disco ya 70`s" santuri zilipigwa mpaka asubuhi ndiyo tunatoka kuitafuta UDA ya Kinondoni/Mwananyamala.
OLD SKULL ipangwe tena nasi wadau tulio mbali na nyumbani tupate nafasi ya kufurahia tukirudi.
Mickey Jones
Je yuko wapi mtaalamu wa solo guitar Shaban Yohana"Wanted"
ReplyDeleteanony Thu Jul 08, 04:07:00 PM unayesema dj jay kama masoud masoud inaelekea bayankata hukuyakuta mjini.
ReplyDeleteni dj neagre jay na sio dj jay.
Hongereni sana wakongwe tamasha kama hili lingekua linafanyika mara kwa mara lingejenga na kuimarisha msingi mkubwa wa mziki
ReplyDeletekwa wanamziki wa kisasa na pia washabiki,hongereni sana tunawatakieni mafanikio mema na maisha marefu
Wadau
"The Ngoma Africa band" aka FFU
Ujerumani
Ningeshauri hao wazee waendeleze libeneke kwa kubadili genre ya muziki.
ReplyDeleteWajifunze namna ya "transfer of learing" kwa kujiunga kutuburudisha na genre ya Jazz - after all, bendi zao nyingi zinajulikana kwa jina la "...Jazz Band."
Wanayo nafasi ya kuzidi kututumbuiza (hata kwenye mahoteli mengi ya utalii), ikiwa ni pamoja na kupata nafasi ya kusshiriki popote duniani!
Jazz ni muziki wa wazee wa kazi!
(Born Again Pagan)
Hebu tukumbushane nyimbo za king kiki na hamza kalala sikiimba ulikua wapi...
ReplyDeleteweweee those were the days...Nilikua nikisikia kipindi kinaanza cha wafanyakazi basi ndio naenda kuoga niwahi class .
Hiyo ndio miziki ya kukuzwa...
Hongera waliofanya haya mambo...muwe mnafanya kila miaka na record zenu muziuze tena jamani...mimi nitanunua hizo saaana tu.
John Peter alikuwa jirani yangu huko Mwananyamala A. Nasikia mshkaji wake Choggy sly alifariki(RIP).John na dada zake akina Jackie na July!.John alikuwa Bitozi babkubwa enzi hizo na akina Moshi Majungu(aliyekuwa mchezaji wa Yanga),unajua tena mambo ya Rungwe oceanic.Jamani tumetoka mbali,siku hizo ukiwa na jeans basi utapata madem kibao!.
ReplyDeleteMichuzi ee,
ReplyDeleteMbona simuoni PARASHI hapo?
Lukumbule Lulembo Parash.
"...ufitinaaa, na upelelzi ni sumu ya mapeeeenzii,
Ufitinaaaaaaa, na upelelzi ni sumu ya mapenzi,
Mimi kupendwa yeye...."
Hii inanikumbusha enzi hizo maeneo ya Bukoba wali kilikuwa ni chakula adimu sana, kilikuwa kinaliwa xmas na iddi-el-fitri. ukipikwa hata baba hatoki mpaka kieleweke.
ReplyDeleteNkyabo- Bongo