(picha na Novatus Makunga)
(picha na Novatus Makunga)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Boda Boda naona zimekuwa kero. Zimekuwa zikisababisha ajali sana na sehemu nyingi hasa mijini. Nadhani sasa ni muda mwafaka serikali iliangalie hili jambo. Madereva wa boda boda itabidi wapewe mafunzo mazuri ya sheria za usalama barabarani na wapewe leseni. Vinginevyo wataendelea kusababishia ajali ambazo zinagharimu maisha ya watu na mali zao.
ReplyDeleteMdau
hivi ni kwanini makandarasi wanojenga barabara za Tanzania bado hawazibi mifereji inayopitisha maji?; nauliza hivyo kwa sababu picha nyingi za ajali kwenye hii blogu zinahusu magari yanayotumbukia mitaroni.
ReplyDeleteNaona zote zina namba mpya, inaonekana ndo kwaanza walikuwa wanasafisha nyota barabarani.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Jamani na sisi wananchi tusikimbilie usafiri wa hizi boda boda, kama kweli kuna ulazima wa kutumia basi tumia lakini tuendelee tu na daladala zetu kwa usalama zaidi, yaani kwa akili ya upesi upesi ya kumsoma mtu ukiangalia vijana wengi wanaondesha hizi bodaboda si wazoefu, hawajatulia ki-akili wao wanachowaza ni kutengeneza pesa za haraka haraka bila kujali usalama wake na wa abiria, sasa mtu asiyejali usalama wake binafsi atajalije usalama wa abiria.??!! akili ku-mkichwa sio kila kitu tufundishwe.
ReplyDelete