Home
Unlabelled
Pongezi wa Askofu wa kwanza dayosisi ya tarime
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MHESHIMIWA KIKWETE HONGERA KWA KULIONGOZA TAIFA.
ReplyDeleteNAFAHAMU KUWA MUDA WA KAMPENI UMEWADIA SASA LAKINI NINACHOSHANGAA NI KUONA UMEELEMEA KUPIGA KAMPENI KATIKA MAKANISA .NA WALA HATUJAKUONA KUPITA MISIKITINI KUONANA NA VIONGOZI WA KIISLAM.
FAHAMU KUWA WAPIGA KURA NI WATU WA DINI ZOTE,USIJISAHAU NA UKAELEMEA UPANDE MMOJA MHESHIMIWA.
TUNAHITAJI CHAPO KUONA PHOTO OP NA VIONGOZI WA KIISLAMU.
mUHIDINI UKIBANIA UJUMBE HUU TUTAFAHAMU KUWA NAW E NI...........
we sedouf ebu acha udini una mambo ya ajabu kichwani kama sio nyenyere, uliambiwa kikwete alikwenda kupiga kampeni huko? si alialikwa kwa ajili ya kusimikwa askofu sasa mambo ya kampeni yametokea wapi?? yani wewe ni mdini mkubwa kwa taarifa yako hakuna dini bora duniani kama unavyodhani, dini safi ni kutazama wagonjwa, kusaidia yatima na wajane, wasiojiweza na kutotenda dhambi full stop hayo mengine dini ni nyongeza tu. kama viongozi wenu hawamualiki ulitaka ajilazimishe kuja? ukome kukurupuka hatuvutiwi na hayo mambo ya udini manake yanaendekeza chuki tu, badala ufikirie jinsi nchi yetu itakavyojikwamua kwenye umaskini huu ualeta udini kazi ipo.
ReplyDeleteHyo maelezo yako ya dini bora ni maneno ya "kichaa"
ReplyDeleteHapa hakuna mtu aliyetaja udini wala kufarakisha dini na watanzania .
Hapa kilichozungumzwa ni usawa wa kiongozi wa nchi katika kuwafikia raia zake ambao wapo waislamu,wakiristo na hata wasiokuwa na dini.
Nilichokilalamikia ni kuwa Rais ameonekana kuelemea upande mmoja tu kuwafikia wananchi.
usitake kunambia kuwa hapa Rais kaalikwa tu!!amka wewe huu ni wakati wa uchaguzi!
Kuhusu Rais "kutoalikwa" na waislamu ,pia hilo ni kosa la Rais,maana Rais ana wafanya kazi wake maalum ambao huwa wana mikakati kama hii ya kumkutanisha na wananchi wake.
Wanachi wenye imani ya KIISLAM wanamuhitaji rais wao hususan wakati huu kuelekea uchaguzi.
Mheshimiwa Rais usisubiri Mualiko waislamu wana kiu kubwa ya kukutana nawe,watafute kama unaona wamechelewa kukutafuta!
Sedouf umelemaa akili tu kubali yaishe. Kila ijumaa yuko huko msikitini sasa unamtaka aende wapi tena? Si mnakutana huko kwenye misikiti? Unalotaka kumwambia baaada ya swala mfuate umweleze na Kama hamumpigi picha mkazileta huku kwa michuzi nani wakulaumiwa? Msione muislamu anaongea na wakristo basi mnazania anabadilishwa dini...Huyo aliyyesema hapo juu kasema yote sina la zaidi...
ReplyDeletesedouf umechanganyikiwa unahitaji msaada yaelekea we ni king'ang'a, ati wananchi wenye imani ya kiislam wanamhitaji rais wao mh??? mjahidina utawajua tu kwa maneno yao,
ReplyDeletekwaheri
Sedouf amewakilisha hisia za watanzania wengi. Tunasema "ukabila" haupo Tanzania lakini baadhi yetu hatutaki undugu na makabila mengine.
ReplyDeleteHii sasa ya dini ni "halali" kwani sera ya nchi iliua makabila kiasi kwamba sasa watanzania hata wa miaka 30 wengine hawawezi kuzungumza lugha zao za asili. KISWAHILI KITUKUZWE????
Kwa wabaguzi udini upo hai Tanzania zaidi ya ukabila. Ndio maana ni vigumu kwa Tanzania kuwa na Rais kutoka dini moja mfululizo. Akitoka Mkristo anaingia Muislamu... Wahindi na wengineo hatuwahesabu sijui ni ubaguzi???
Hii hapa imekaaje...
Nyerere Mkristo...
Mwinyi Muislamu
Mkapa Mkristo
Kikwete Muislamu
Kwa hiyo kwa kufuata ubaguzi huu Rais atakayefuata 2015 atakuwa Mkristo labda tukivunja ubaguzi huu wa kidini... ni jadi yetu. Na tukiacha hilo wengi wetu wagumu kuruhusu ndugu zao kuolewa kwenye dini tofauti au nimekosea wadau? Udini upo hai katika jamii ya kitanzania.Watu wapenda amani tunapaswa kukumea ubaguzi wowote ule iwe ni kidini, kikabila etc. Tukianza kubagua mwishowe watoto wetu pia tutawabagua... na haitaishia hapo. UBAGUZI UNATISHA!!!
MHESHIMIWA KILA IJUMAA YUPO MSIKITINI. ZAIDI KAMPENI AMEFANYA VIZURI NA MANENO MAZURI YANYOPITA KATI YETU KWENYE MISKITI NI KUWA AWAMU YAKE YA PILI TUTAPATA MAHAKAMA YA KHAZI; TUNAMPONGEZA SANA KWA HATUHII MUHIMU YA MAENDELEO YA TANZANIA, HUSUSANI WAISLAMU, NASI TUNAKUWA KATIKA KIWANGO CHA KUTENDEANA HAKI KWA KUFUATA KANUNI AMBAZO WENZETU WA IRAN, AFGHANSTAN, SUNDAN NA SEHEMU KAZI HIZO WANAVYOPATA HAKI ZAO. ASANTE SANA SHEKHE MKUU SIMBA KWA CHANGAMOTO ULIYOMPATIA RAIS WETU MPENDWA CHANGUAO LA MUNGU,
ReplyDeleteTHAKIBIL