Ngome.net inayofuraha kumkaribisha Professor Jay ndani ya america tayari kwa kupiga tour kali sana. Show ya kwanza ni ndani ya Houston, ukumbi wa safari, leo usiku jumapili tarehe july 4,
kusindikiza sikukuu ya uhuru wa marekani!!
Watanzania, wakenya, wanyarwanda, waganda, wacongo, warundi, nk. Wote mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa support mtu wetu wenyewee!!
Watanzania, wakenya, wanyarwanda, waganda, wacongo, warundi, nk. Wote mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa support mtu wetu wenyewee!!
Nakuona Kitova na Prof J,kweli jambo zuri na nyie muone vijana wa kibongo wakikamua,pia wape na exposure wanamuziki wa bongo.
ReplyDelete