Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    Mkuu wa libeneke,
    Kazi nzuri hata na sisi huku America tumefurahia. Sasa hawa wanasiasa wetu vitu kama hivi wanavifuatilia? au ndio kila siku kuomba chakula tuu!!Hivi ndivyo Sayansi inavyotakiwa kuwasaidia wanachi haswa wa kima cha chini amabo wanajilimia tu bila ushauri. Hongera kwa huyo jamaa aliyekuwa anatoa maelezo maana amejitahidi sana kutumia kiswahili, tofauti na yule wa Chuo Kikuu cha Ualimu.

    Mdau N.America

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    Jamani hizo spelling za research sina hamu nazo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    Mkuu,
    hiki ndio kitu kinatakiwa kufanywa,kwa kuongezea, wananchi pia tunahitaji kushiriki,sio kubishania mipira na mambo yasiyo na maana tuwe sirious.ni vitu hasa vinavyotufanya tuwe nyuma."aina ya uongozi inategemea aina ya wananchi,kwa kuwa viongozi wanakilisha aina ya jamii iliyopo sehemu fulani".

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...