
Libeneke oye!
SEACOM down again
Article By: Hadlee Simons
Mon, 05 Jul 2010 15:56
Internet service providers making use of the SEACOM cable system for bandwidth have experienced problems with international connectivity today.
Article By: Hadlee Simons
Mon, 05 Jul 2010 15:56
Internet service providers making use of the SEACOM cable system for bandwidth have experienced problems with international connectivity today.
Afrihost has posted a message on its Client Zone page, saying, "We are experiencing an intermittent International ADSL connectivity problem. Our upstream service providers' engineers are investigating the cause of the problem. We will post more details here shortly once we have more information."
The SEACOM consortium said that the problem was between Mumbai and Mombasa, with no word on the cause of the issue.
Some ISPs have also begun routing traffic via the SAT-3 cable system, My Broadband reported.
The SEACOM consortium said that the problem was between Mumbai and Mombasa, with no word on the cause of the issue.
Some ISPs have also begun routing traffic via the SAT-3 cable system, My Broadband reported.
Subscribers using the SEACOM system have been left in the lurch before, with an outage on a partner cable resulting in connectivity problems in April
Ankal chunga sana na namna unavyoweka ilo li laptop bila ya kitu chini yake. Kwa dizaini hiyo iko siku mananhii yataungua. Shauri yako!!!
ReplyDeleteAnkal KWanza Msikilzia Mdau wa Kwanza
ReplyDelete2. Ankal Kazi hapo unatilia maanani kweli? naona kama Macho yanacheza Winger sizo? Teh-teh-teh. Kama chai maharage unakaa upande wa pili. MZ.
Ankal Mithupu naona uzalendo unaelekea kukushinda. ahahahaaaa!!!
ReplyDeleteANKAL NAONA HAPO MACHO KODO NANI KAONA SIZANI KAMA UTAKOSA KWI KWI NA MAELEZO KWENDA ALI JOJO
ReplyDeleteJicho la kushoto halikuwa ktk screen anko.Tukipretend tunafanya hesabu za maumbo(angles) tukarefusha mwelekeo wa jucho mstari utaishia gotini LOL.
ReplyDeleteuncle una cheki hizo legs...one can tell easily...do your physics
ReplyDeleteAnkal naona mawazo hayapo kwenye laptop yapo kwingine kabisa. Angalia jicho ulipolielekeza kaazikwelikweli...
ReplyDeleteUncle pambaf!
ReplyDeleteHayo macho yako wapi?
Hii kitu Mwanvita si mchezo mimi natangaza ndoa ili niwe mkwe kwa mzee Makamba mama yangu mpare hivi ankal umeconcetrate kweli na maelezo ya mrembo huyu au unazuga.
ReplyDeleteKuzidi kuwasifia hawa warembo ndo sababu ya migonjwa yote hii...jamani wakatazeni kuvaa vinanihii hivyo hadharani...wanatupa homa wengine...na Michuzi I'm not sure but I guess aahuh...kunani na bibie huyo..tell her to ping the gateway.
ReplyDeletehivi dada Mwavita si unaona wanavyokusanifu hapa wachangiaji , si bora tu ubaki na yale mavazi unayopendaga kuvaa Ramadhani!
ReplyDeletehapo ankal naona unatafuta point of gravity kwenye body shape hebu na mimi nikumbushe formular yake !
ReplyDeleteAAH!WEYE NAKUONA HAPO!
ReplyDeleteHands down....Dada Mwamvita has one of the best bodies in Dar es Salaam.....period.
ReplyDeleteankal pole kwa yote hasa kwikwi ya macho,na hiyo laptop imeinuka kiasi hapo,pole sana,yaelekea bwerere sana wewe.
ReplyDeletehuyu bibie nasikia kuwa everything about her need be CAREFULLY done,yaani one mistake,one goal.akikosewa kidogo tu,hutokea kama kitu gani sijui.hebu tujulishe mlipiga snaps ngapi hapo mpaka mkachagua hiyo?nasikia zile zote zilizoonyesha miguu japo kwa nusu inch zaidi ya hiyo hapo zote mlizi-delete, hehehe, eti ni kweli?pia eti ni kweli hapo alikuwa ametoka straight from salon?
akina dada wana mambo.
kusema ukweli anajipatia.amependeza.
USIPENDE KUWEKA LATOP KATIKA MAPAJA YAKO HASA KARIBU NI KIWANDA CHA KUTENGEZA WATOTO, WANASAYANSI WAMESEMA INAWEZA KUINGILIA UTENDAJI KAZI WA KIWANDA, HII SI SIRI NI KWELI SO PLEAS THIS IS AS A WAKE UP CALL TO ALL DON'T PUT YOUR LAPTOP NEAR THERE. MIONZI INAINGILIE HARAKATI YA UTENGEZAJI WATOTO
ReplyDeletekwa aliekuwa anataka kujikumbushia formula ya point of gravity (newton's law), kumbukumbu zangu inaniambia ni kama ifuatavyo
ReplyDeleteF = d/dt (mv)
F1 = F2 = nimesahau kidogo.
ila nadhani itasaidia.asante.