Ankal akiwa na Mkuu wa kitengo cha mahusiano na vodacom Foundation Bi. Mwamvita Makamba wakati akimueleza kwamba Globu ya Jamii inaloendeshwa kwa nguvu za Vodacom Internet bado inaendelea na libeneke licha ya kwikwi ingine tena ya mkongo wa mawasiliano wa Seacom kupata kwikwi kutwa nzima ya leo na kusababisha kukatika kwa mawasiliano kila sehemu. Soma maelezo ya nini kilichojiri huko Seacom hapo chini.
Libeneke oye!
SEACOM down again
Article By: Hadlee Simons
Mon, 05 Jul 2010 15:56
Internet service providers making use of the SEACOM cable system for bandwidth have experienced problems with international connectivity today.
Afrihost has posted a message on its Client Zone page, saying, "We are experiencing an intermittent International ADSL connectivity problem. Our upstream service providers' engineers are investigating the cause of the problem. We will post more details here shortly once we have more information."
The SEACOM consortium said that the problem was between Mumbai and Mombasa, with no word on the cause of the issue.
Some ISPs have also begun routing traffic via the SAT-3 cable system, My Broadband reported.

Subscribers using the SEACOM system have been left in the lurch before, with an outage on a partner cable resulting in connectivity problems in April

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    Ankal chunga sana na namna unavyoweka ilo li laptop bila ya kitu chini yake. Kwa dizaini hiyo iko siku mananhii yataungua. Shauri yako!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2010

    Ankal KWanza Msikilzia Mdau wa Kwanza
    2. Ankal Kazi hapo unatilia maanani kweli? naona kama Macho yanacheza Winger sizo? Teh-teh-teh. Kama chai maharage unakaa upande wa pili. MZ.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2010

    Ankal Mithupu naona uzalendo unaelekea kukushinda. ahahahaaaa!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2010

    ANKAL NAONA HAPO MACHO KODO NANI KAONA SIZANI KAMA UTAKOSA KWI KWI NA MAELEZO KWENDA ALI JOJO

    ReplyDelete
  5. Jicho la kushoto halikuwa ktk screen anko.Tukipretend tunafanya hesabu za maumbo(angles) tukarefusha mwelekeo wa jucho mstari utaishia gotini LOL.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2010

    uncle una cheki hizo legs...one can tell easily...do your physics

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2010

    Ankal naona mawazo hayapo kwenye laptop yapo kwingine kabisa. Angalia jicho ulipolielekeza kaazikwelikweli...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2010

    Uncle pambaf!
    Hayo macho yako wapi?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 06, 2010

    Hii kitu Mwanvita si mchezo mimi natangaza ndoa ili niwe mkwe kwa mzee Makamba mama yangu mpare hivi ankal umeconcetrate kweli na maelezo ya mrembo huyu au unazuga.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 06, 2010

    Kuzidi kuwasifia hawa warembo ndo sababu ya migonjwa yote hii...jamani wakatazeni kuvaa vinanihii hivyo hadharani...wanatupa homa wengine...na Michuzi I'm not sure but I guess aahuh...kunani na bibie huyo..tell her to ping the gateway.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 06, 2010

    hivi dada Mwavita si unaona wanavyokusanifu hapa wachangiaji , si bora tu ubaki na yale mavazi unayopendaga kuvaa Ramadhani!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 06, 2010

    hapo ankal naona unatafuta point of gravity kwenye body shape hebu na mimi nikumbushe formular yake !

    ReplyDelete
  13. Hadj Drogba "mwana chelsea"July 06, 2010

    AAH!WEYE NAKUONA HAPO!

    ReplyDelete
  14. Hands down....Dada Mwamvita has one of the best bodies in Dar es Salaam.....period.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 06, 2010

    ankal pole kwa yote hasa kwikwi ya macho,na hiyo laptop imeinuka kiasi hapo,pole sana,yaelekea bwerere sana wewe.

    huyu bibie nasikia kuwa everything about her need be CAREFULLY done,yaani one mistake,one goal.akikosewa kidogo tu,hutokea kama kitu gani sijui.hebu tujulishe mlipiga snaps ngapi hapo mpaka mkachagua hiyo?nasikia zile zote zilizoonyesha miguu japo kwa nusu inch zaidi ya hiyo hapo zote mlizi-delete, hehehe, eti ni kweli?pia eti ni kweli hapo alikuwa ametoka straight from salon?
    akina dada wana mambo.

    kusema ukweli anajipatia.amependeza.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 06, 2010

    USIPENDE KUWEKA LATOP KATIKA MAPAJA YAKO HASA KARIBU NI KIWANDA CHA KUTENGEZA WATOTO, WANASAYANSI WAMESEMA INAWEZA KUINGILIA UTENDAJI KAZI WA KIWANDA, HII SI SIRI NI KWELI SO PLEAS THIS IS AS A WAKE UP CALL TO ALL DON'T PUT YOUR LAPTOP NEAR THERE. MIONZI INAINGILIE HARAKATI YA UTENGEZAJI WATOTO

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 06, 2010

    kwa aliekuwa anataka kujikumbushia formula ya point of gravity (newton's law), kumbukumbu zangu inaniambia ni kama ifuatavyo

    F = d/dt (mv)

    F1 = F2 = nimesahau kidogo.

    ila nadhani itasaidia.asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...