wake akiwa na DJ Venture Mzalendo Pub
KAKA NAOMBA UWAJULISHE WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII KUWA KAKA YETU COSTA MOWO, MKURUGENZI WA MZALENDO PUB, AMEFARIKI DUNIA JANA JIONI MOSHI KATIKA HOSPITALI YA KCMC BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
MAZISHI YAKE YANATARAJIWA KUWA MOSHI NA TAARIFA ZAIDI NITAZIWAKILISHA KADIRI ZINAVYONIJIA
MIMI MDAU
MIMI MDAU
RICHARD MAGOMA
-----------------------------------------------------
Mtu wa karibu ametutoka ghafla jana usiku mida ya saa moja ni kama kaka,patner,mpiganaji wa ukweli na mmiliki wa MZALENDO PUB hivyo hakutakuwa na chochote FLAVANITE katika kipindi hiki kigumu.
Mola ailaze roho ya marehemu COSTA MOWO.
AMEN
- DJ Venture
Inalilah waina ilaihi raaj uunn
ReplyDeletecosta tutakukumbuka daima....jamani he was always a jolly man.
ReplyDeletealikuwa mtu wa watu,mcheshi,mchangafu,.......ulazwe pema peponi swaiba
ReplyDeletealikuwa mtu wa watu,mcheshi,mchangafu,.......ulazwe pema peponi swaiba
ReplyDeletewatu walikupenda lakini mungu anakupenda zaidi..RIP costa
ReplyDeleteThis is a sudden, shocking news. RIP brother Costa, We will remember you always.
ReplyDeleteCosta you will always be in my heart and mind, we had a good life together, R.I.P Brother. You left the legacy in the entertainment industry, the spirit which should not die.
ReplyDeleteNitakukumbuka daima Costa. Yaani ucheshi na uchangamfu wako hautasahaulika kamwe. It's a shocking news. RIP Costa.
ReplyDelete