Marehemu Costa Mowo (shoto) enzi za uhai
wake akiwa na DJ Venture Mzalendo Pub
KAKA NAOMBA UWAJULISHE WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII KUWA KAKA YETU COSTA MOWO, MKURUGENZI WA MZALENDO PUB, AMEFARIKI DUNIA JANA JIONI MOSHI KATIKA HOSPITALI YA KCMC BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.

MAZISHI YAKE YANATARAJIWA KUWA MOSHI NA TAARIFA ZAIDI NITAZIWAKILISHA KADIRI ZINAVYONIJIA

MIMI MDAU

RICHARD MAGOMA

-----------------------------------------------------
Mtu wa karibu ametutoka ghafla jana usiku mida ya saa moja ni kama kaka,patner,mpiganaji wa ukweli na mmiliki wa MZALENDO PUB hivyo hakutakuwa na chochote FLAVANITE katika kipindi hiki kigumu.
Mola ailaze roho ya marehemu COSTA MOWO.
AMEN
- DJ Venture

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Inalilah waina ilaihi raaj uunn

    ReplyDelete
  2. costa tutakukumbuka daima....jamani he was always a jolly man.

    ReplyDelete
  3. alikuwa mtu wa watu,mcheshi,mchangafu,.......ulazwe pema peponi swaiba

    ReplyDelete
  4. alikuwa mtu wa watu,mcheshi,mchangafu,.......ulazwe pema peponi swaiba

    ReplyDelete
  5. watu walikupenda lakini mungu anakupenda zaidi..RIP costa

    ReplyDelete
  6. This is a sudden, shocking news. RIP brother Costa, We will remember you always.

    ReplyDelete
  7. Costa you will always be in my heart and mind, we had a good life together, R.I.P Brother. You left the legacy in the entertainment industry, the spirit which should not die.

    ReplyDelete
  8. Nitakukumbuka daima Costa. Yaani ucheshi na uchangamfu wako hautasahaulika kamwe. It's a shocking news. RIP Costa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...