Shuhuda wa tukio akitoa maelezo kwa wana ITV waliofika kupata taswiraazzzz kama wanavyoonekana .


Ankal
Leo Mitaa ya Mtaa wa Shabaan Robert, nje ya shule ya msingi Bunge na mkabala kabisa na Ofisi ndogo za Bunge, kuna gari limepatwa na zahama hiyo kama inavyojionyesha kwenye picha. Maeneo hayo hutumiwa sana kama packing na watumishi wa Ofisi ya Bunge na Hazina.

Inasadikika mpaka hivi sasa mwenye gari hajapatikana kwani anafanyia Hazina na juhudi za kumpata zinaendelea.

Mimi Mdau Owen Mwandumbya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama hii bwana nimewahi kuiona pale Kinondoni makaburi! Tena gari ilikuwa kwenye foleni, bahati nzuri hakufa mtu! Lakini wazee wa jiji hatari jaribuni kufuatilia hata umri wa miti na usalama wake tutaja poteza watiu kwa mambo ya kijinga tu!!

    ReplyDelete
  2. sioni kama hii ni story, labda kama gari lingeangukia mti ingekuwa.hebu itv leteni story za maana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...