JK akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba mjini,Bw. Hamis Kagasheki katika kampeni za uchaguzi mkuu anazoendelea kuzifanya mikoani.
JK akimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba Vijijini,Bw. Jasson Rweikiza alipokuwa anawatubia wakazi wa kijiji hicho mara baada ya kunadiwa.
Sehemu ya umati mkubwa wa wana CCM na wapenzi wa chama hicho wakimsikiliza JK katika mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.
JK akiwa katika picha ya pamoja na wagombea ubunge na udiwani wa Bukoba.
Kinamama wa Bukoba mjini wakimshangilia JK alipokuwa akihutubia umati wa wana Bukoba katika uwanja wa Mashujaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. picha ya juu yule sio Kagasheki,kagashaki kipenzi chetu tunamjua uzuri.ni makosa kdg tu

    ReplyDelete
  2. Ephata SozigwaAugust 25, 2010

    Michuzi kwenye picha mojawapo hapo katika mkutano wa kampeni nimeona kuna bendera ya taifa!! Hii imekaaje? Ni swali tu nahitaji kueleweshwa.

    ReplyDelete
  3. kale kasebene cha JK2010 kitamu mmm!!mistali yake raha tupu!
    heti Kanimama wote tumchague!
    Kikwete!
    akina baba wote tumchague
    Kikwete
    Vijana na wazee tumchague
    Kikwete!
    Jamaa eh!eh
    Jakaya Kikwete

    kwa kweli nilipokia leo redioni rahaa tupu

    ReplyDelete
  4. Mithupu umechemsha oicha ya juu kabisa sio kagasheki bwana huyo, tafuta jina vizuri la huyo mgombe

    ReplyDelete
  5. Michuzi jaribu kurekebisha maelezo ya picha ya kwanza huyo mgombea sio Hamis Kagasheki ni Charles Mwijage.
    mdau Paka la Jikoni.

    ReplyDelete
  6. Huyo hapo juu namfahamu sana sio kagasheki ni Chares Mwijage dada zake ni Gerardina wa Upanga na Vicky wa Kijitonyama Dar. Wao mkorogo walisema NOOOOOOOOO!

    Mpeni kura jamani. Hawa jamaa huwa wananifurahisha sana mambo yao. Uongozi supa, kujitolea supa.

    Huyu Mwijage mchagueni ataleta maendeleo.

    ReplyDelete
  7. hongera sana rweikiza yani hapo naona jk anatabasamu tu ishara ya kukubali anachoongea rweikiza safi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...