Wavunja mbavu kutoka nchini Kenya Mama Kayayii akiwa na baba Kayayii a.k.a Mzee Ojwang, pamoja na Mwala wakishirikiana na mwenyeji wao zembwela wakionyesha vituko mbele ya mgeni rasmi katika sherehe za kufunga siku ya nane nane jana. Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha
'Afande ' Mwala 'akiriaresti' rijamaa baada ya kufanya fujo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. video please

    ReplyDelete
  2. Oh man I miss this show...Yule aliyekua anaitwa sijui otorong'ong'o ndio alikfaga right

    ReplyDelete
  3. Zembwela umetoweka kwenye mizengwe kumbe unaendeleza fani kwa wakeii? au ni uenyeji tu basi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...