

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Absolutely fantastic.... Unatoka London moja kwa moja mpaka Bukoba...Asante saana wajasirimali wa Precision Air.
ReplyDeletejamani bado tunakata mapanga tu ndege gani hiyo tafadhali
ReplyDeleteHII NIABU YA KUSIKITISHA, YAANI SHIRIKA BINAFSI KILA SIKU LINASHUSKA KITU KIPYA, ATCL YA SERIKALI IPO ICU. WATANZANIA TUMEROGWA NA ALIYETULOGA KAFA. MPENI DR. SLAA NCHI.
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteHuyo dada wa kushoto kabisa nimeona cha ndani,amenikuna kweli......hauna contact yake????
chaos
http://www.youtube.com/watch?v=Jh2jQcnWcQo&feature=player_embedded
ReplyDeletethe future Kigamboni
@ Annony wa Tue Aug 31, 08:18:00 AM: Hivi unadhani wanaomiliki Precision Air ni akina nani? nyuma ya pazia wako hao wanene wa nchi hii.. na huenda hata viongozi wa ATCL wamo..hivi kweli uandhani hapo watakuwa na hamasa kuiendeleza ATCL? wanaiua ATCL kwa makusudi ili wao waendelee kufaidika na biashara.
ReplyDeleteTehe teh teh!
ReplyDeleteSafi sana Michuzi. Picha nzuri zinavutia.
Huyo Anony wa hapo juu anaeomba kontakts mbona anaingilia kazi za watu?
We michuzi ndege gani mpya ina makataupepo ya nje?
ReplyDeleteHii technolojia ya mwaka 47 ndo waafrika tunaambiwa mpya!
Ndege ya hivyo sipandi ng'o! Hata kama kwenda moshi ni elf ishirini!!
@anonymous 08:06:00 AM, Ndege za mapanga zina ubora zaidi kwasababu zina stahimili mazingira mangumu ya airport zetu za ndani. Ndio maana ndeze nyingi za Kijeshi especially za wenzetu Wamarekani, Warusi, na Waingereza ndegezao za mizigo vitani ni zenye mapanga. Zina uwezo wa kustahimili, vumbi, rough ranways, vile viel siyo rahisi kwa ndege kuingia kwenye engine kutokana mapanga yake. Kwa hivyo basi, hawa jamaa wa Precision, wana jua wanacho fanya.
ReplyDeleteWatu badala waangalie ndege mpya ipo kiwanjani,wanaangalia mipaja ya pilot.
ReplyDeleteMzee wa pajaaaaaz + titiiiiiiz upo?mbona cku hizi kimya au ndo mambo ya mfungo upo kimya!
Hata watengenezaji wa ndege wenyewe wanatumia za mapanga kata!
ReplyDeleteAchana na kulilia vya usasa! Tengeneza vya kwako!
Nilikuwa naogopa vile vidogo vya kubeba abiria 15. Nilikuwa nimeisha zoea kupanda Meli mpaka Mwanza then Mwza to Dar ama DAR to Mwza,then Meli. Sasa naona safari yangu ya Dec itakuwa bomba. Waambie basi wafanye Entebbe to BUKOBA. Make muda mwingine napiga za USA to ENTEBBE, then Bukoba.
ReplyDeleteMdau POPOTE
Mdau hapo juu inaonesha nyinyi ni wale wale akina wanshomile...kwa majisifu mliyonayo?
ReplyDeleteMdau Mbije A,B-mweusi kaa nyinyi lakini mimi mtu wa mbeya
afadhali wameleta hii kubwa kidogo maana mateso ya vile vi-foka sijui videge viduchu kama popo vinapepea ziwani kama kishada bwana!!mtu unasafiri unapiga kelele na BP juu
ReplyDeleteprecision angalau wanasaidia
toto la kike,safi saaana
ReplyDeletenimekupenda kinyama
&$#^^5*(( kabisa lol...