Assalam Alaykum
Nasikitika kuwataarifu Watanzania wenzangu kuwa Mzee wetu, Sheikh Harith Bin Khelef (Mufti Mkuu wa Zanzibar) amefariki leo alfajiri nchini india. Familia inaendelea na maandalizi ya kuurudisha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi.
Mjukuu wa Marehemu,
Dar es Salaam.


Inna lillahi, wainna ilayhi raj'un.
ReplyDeleteRIP mufti
INNA LILAHI WAINNA ILAYHI RAJ,UN.... POLENI SANA WAFIWA.
ReplyDeleteInna Lillah Wainna Ilayhu Rajiuun.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa wote.
Inna Lilah wa inna ilayhi Rajiunna,
ReplyDeletenawapa pole sana wafiwa, namfahamu Sheikh Harith wakati wa miaka ya 90 akijia Iringa mara kwa mara dukani pake Zanzibar Store Makarongoni mie binafsi alinisaidia.
Mwenyezi mungu awajaze nguvu wafiwa. Poleni sana
inallilahi wainna ilayhi rajiun mmungu amlaze pema peponi
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. Amin.
ReplyDelete