Waziri Kiongozi wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha(katikati) akiwa na viongozi wapya wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania(TASWA) waliochaguliwa hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti Maulid Baraka Kitenge kushoto na Katibu Mkuu Amiri Mhando kulia walipokwenda kujitambulisha nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake na viongozi hao, Waziri Kiongozi ametaka viongozi hao wanafanya mabadiliko ya kweli katika Chama hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni wapiganaji ila twaomba kuona mabadiliko ya kweli na vitendo muhimu sio porojo za kisiasa... tuko pamoja katika kudumisha michezo nchezo nchini "TUMECHOKA KUDHARAULIWA" REKEBISHENI haya kwa jamii. Big Up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...