Home
Unlabelled
tatu mtungi...duh! leo bwawa limeingia ruba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SALAM KUTOKA UKEREWE AND YA MJI WA KUSOMA. BROTHER MICHUZI SASA WAKATI WA KUHAMA TIMU UMEFIKA. MAN CITY BADO INAHITAJI MASHABIKI. UR WELCOME THERE PLZ.
ReplyDeleteLIVERPOOL BWEREREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH........
Top four now reads: Chelsea, Arsenal, Man Utd and Man City. City would be happy with that in May, but for now they will take a lot of heart from beating Liverpool in such fashion.
ReplyDeleteNa Bado kaeni mkao wa kubwia mwaka huu, darajani wanamwaga dozi sita sita.......mtacheua!
ReplyDeleteyou man....you are joking..you are calling man city vibonde?
ReplyDeletePweza Paul katabiri ``Liverpool inashuka daraja msimu huu'' teh teh
ReplyDeleteKwisha kazi nyie.
ReplyDeletePole sana David Mushi
ReplyDeleteBrother Michuzi, Mwili siyo wako huo ila litimu hilo ndiyo linakukondesha hama timu hiyo usije ukafa na mi preshaaa.....ushauri wa bure.
ReplyDeleteTeh teh teh
pole sana ankal. naona sijui hii itakuwa nuksi ya standard chartered, maana carsberg (sijui hata inavyoandikwa ile pombe, na mwezi mkubwa huu), walikuwa wanajitahidi kidogo.
ReplyDeleteMwanzo mgumu jamani....Hii hua inatokea kwa vilabu vikubwa kama Liverpool a.k.a bwawa la maini! Na ndio maana hata ninyi wote mkapata cha kusema....ila, MY LAUGH COMES LAST......LIVERPOOL FOR LIFE! YOU WILL NEVER WALK ALONE!!!
ReplyDeletemdau De
Daaaah...! nilitamani jamaa watoke uwanjani, tumenyanyaswa sana, tumehalilishwa sana na tumeeonewa!
ReplyDeleteLiver die hard.
Washabiki wa liver bwana, Mwaka huu mtakufa kwa presha, bado hamjakutana na NewCastle, Chelsea, ManU, Totenham na Fulham, Lazima Mgongwe,mpoteze point 18 round ya kwanza na 18 nyingine round ya pili, Lazima mshuke.
ReplyDeleteKitu chelsea,kila timu Uingeleza inayokutana na Chelsea ikitoka salama ni mungu amewaponya,Timu zote zinaiogopa chelsea. chelsea ndo tishio, msimu huu lazima tufikishe mabao 200. na raha zaidi tunaisubili arsenal tutapiga ma 5, ManU ma3 na liver tutapiga 7 Bila,huku Man City tukiwapiga 2 bila na usajili wao wa pesa nyingi hadi kocha afukuzwe.
Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana na nimeonewa sana katika hili.Tunahutubia nchi nzima na kusema bwawa la maini limefanya hivi na hivi bila kulisikiliza, mi nadhan there's a wish which i'm going to grant.Tatizo ni kuwa mshabiki wa Liverpool.Imeonekana liverpool imefanya haya,liverpool limefanya haya,bwana la maini tuliondolee heshima. Nimetafakari sana,kwa niaba ya chama langu nimeamua kumuandikia Hugson barua ya kumwomba niachie ngazi!
ReplyDeleteMakofi kwa Ankal tafadhali!