Home
Unlabelled
vodacom kanda ya ziwa kumekucha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hongera kwa kazi nzuri unayoifanya ikiwa ni pamoja na kufikisha comment zetu popote panapohusika hata kama ni kwa partners wako wa biashara.
ReplyDeleteHapo kwny ofisi za vodacom Mwanza, huyo mama picha ya pili kutoka chini ana kauli chafu sana kwa wateja na muda wote unamkuta amenuna,hata ukimweleza shida yako hayuo friendly.Anatakiwa ajue kwmb biashara za sasa ni za ushindani mkubwa sio kwa sababu yeye mshahara wake uko tu palepale bac ndo asijali wateja, am sure bosi wake akilijua hilo kibarua chake kitakuwa matatani..naomba umfikishie ujumbe huo.
hakuna sehemu wanaonishangaza kama ofisi zenye watu wenye mapozi kwa wateja na huduma za kubabaisha,,,ivi mnajua mnaotuhudumia tuna nafasi gani?tukisema wote tuwe na mapozi tutafika kweli
ReplyDeleteanyway
wadada wa voda eeeh,mko makini sana hongereni
ReplyDeletehakuna lolote, kwanza kuna dada nilimuomba anielekeze jinsi ya kufanya configration simu yangu ya kichina niwe napata internet akakataa, wakati nikipata neti kwenye simu ni faida kwao,aliniwekea mwenyewe lakini baada ya ck mbili ikafyatuka tena,huku maduka ya simu hapo hapo mwanza wakiwa wanatoza elfu kumi kuwekewa huduma ya net simu za kichina, mi sina hamu na hiyo office.
ReplyDeleteMichuzi na hii ibanie pia, naongea toka nje ya nchi, nilikuwa hapo nyumbani Mwanza kwa likizo, na nilipata wasaa wa kupitia ofisi hizo za voda ili niweze kuwasiliana na ndugu na jamaa hapo nymbani, kama alivyosema mdau wa kwanza SIR hapo juu ni kweli kabisa huyu mama hana kauli nzuri, mimi nilidhani labda kwa kuwa nimetoka sehem ambayo Customer care wanaijali sana hivyo ikabidi nikae kimya tu, lkn huyu mama anajiona kama yupo dunia nyingine kabisa,ila akumbuke anawahudumia watu wa level mbali mbali, ambao wengine anaowahudumia wanamuangalia utendaji wake, wengine wanafanya kazi kama yake hivyo asijisikie sana kuna leo na kesho, Customer care bado sana Tanzania na Rwanda wanatupiga bao taratibu.
ReplyDeleteSIWEZI KUWA ADUI KWA KUSEMA UKWELI.
Mdau Uholanzi.