Wanasiasa 10 walipata ajali mbaya alitokea mkulima mmoja alichimba shimo na kuwazika, Polisi walikuja na kuanza kumhoji;
Polisi:Uliona ajali?
Mkulima:Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa.
Polisi:Zipo wapi maiti?
Mkulima:Nimezizika.
Polisi:Una uhakika wote wamekufa?
Mkulima:Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo! mimi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote...
Na Mdau LS
Polisi:Uliona ajali?
Mkulima:Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa.
Polisi:Zipo wapi maiti?
Mkulima:Nimezizika.
Polisi:Una uhakika wote wamekufa?
Mkulima:Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini si unajua wanasiasa walivyo waongo! mimi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote...
Na Mdau LS


teh teh teh thats so funny.
ReplyDeleteIppy
jamani sasa wanasiasa wanalo kwa hari hii na jinsi wanavyoongozana kurudisha fomu ndio tutawazika wooote na itkuwa bora couse wanakela sana
ReplyDeleteNi ucheshi wenye kufikirisha. Lakini pengine angeachia japo wanasiasa wachache kwani wanasiasa wote si waongo.
ReplyDeleteToleo la Kiingereza la ucheshi huu linapatikana hapa:
http://matondo.blogspot.com/2010/03/kisa-cha-mkulima-mzee-aliyechoshwa-na.html
NOT FUNNY!
ReplyDeleteNafikiri mkulima yuko sahihi na hasa tukitumia uzoefu wetu sisi waafrika, wanasiasa wetu ni waongo kupindukia na ndio maana hata wapiga kula aaah!! samahani wapiga kura wanajitokeza kwa uchache vipindi vya uchaguzi
ReplyDeletehahaha humo mgosi makamba asinge kosekana!
ReplyDeleteBILA SHAKA WOTE WALIKUWA WA CCM, HILO HALINA UBISHII
ReplyDelete