Home
Unlabelled
yale yalee..!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi nimeipenda hii ni kali ya mwaka, Ni vizuri watu wakapata elimu muafaka kwa hivi vitu na pia serikali itafute namna ya kutokomeza hawa mbu maana mikoa ya pwani na joto linavyokuwa kali kulala na net nikitendawili kingine.
ReplyDeletehehehehehe hii kali,tutafika kweli.mmh
ReplyDeletemh!
ReplyDeletekulinda mbu dhidi ya watoto???
Amaaakweli, hiya ndio mambo ya kupigiwa mfano. Gharama za utengeneza wa hivyo vyandarua ni ya hali ya juu ambayo kama isingekuwa hivyo hiyo pesa ingetumika kwenye shughuli nyingine za kimaendeleo. Ingekuwa ni uwezo wangu na mamlaka yangu, mtu aliyefanya kitendo hicho angefunguliwa mashitaka sawa na yale ya kuhujumu uchumi ili iwe fundisho. Ifike mahali Watanzania tujionee huruma. Kisingetumika kuzuilia vifaranga visiliwe na Mwewe, chandarua hicho kingekuwa kimeokoa maisha ya Mtanzania mahali pengine.
ReplyDeleteMdau, Jacob
kweli mchawi aliyeturoga watanzania alisha kufa
ReplyDeleteMCHANA KINATUMIKA KUKINGA VIFARANGA DHIDI YA KUNGURU NA USIKU VINATUMIKA KUKINGA BINADAMU DHIDI YA UMBU.
ReplyDeleteHAYA NDIO MADHARA YA UMASIKINI
ReplyDeleteMKAPA ALISEMA KAZI YAKE YA URAIS ILIKUWA NGUMU SANA KWANI ALIKUWA NA KAZI YA KUFUNDISHA WATU KUTUMIA VYOO TENA VYA SHIMO.
ReplyDeleteDu, wabongo ni noma ! yaani msaada wa "watu wa marekani" umeishia hapo ?
ReplyDeleteLazima mkono uende kinywani kwanza
ReplyDeletebila chakula kuna haja ya kuleta vyandurua. na huyo mbu atanyonya nini. eti vyandurua vya jk...stupid!
ReplyDeleteHakika watanzania wabunifu. Tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteNdiyo mtu anayo haki ya kutumia mali yake kadari anayoona inafaa! Angalizo kidogo: Vynadaru hivi si vya JK; ni mali ya Rais Mstaafu G. Bush wa Amerika. Alitupatia Wadanganyika baada ya kukubali kupitia kwa Rais wetu kuwa hatutabadilisha mikataba ya Barrick na kampuni zingine za Migodi: Vyandarua ni karibu Millioni moja hivi za Amerika! Lakini kama tungebadilisha Mkatabab na kuweka Clause ya "windfall Tax", hivyo basi wangekuwa wanalipa kwa sasa kwenye kiwango cha US$1,924.00 badala ya zamani ya ounce kwa US$ 270.00. Hii ilikuwa fainda kwa watu wa amerika ambao wamewekeza kwenye Kampuni ya Canda ya Migodi hiyo na pia familia na maradiki wa Bush. Alikaa Dar siku tatu na kumweka sawa Rais wetu Mrisho Abdalah Kikwete! Kweli sasa wacha na kuku wafaidi, maana kwa kupokea msaada huo tulionyesh wazi kuwa sisi watangaynika Ubongo wetu ni sawa na Kifaranga cha KUKU!
ReplyDeletevyandaruwa vinalinda kuku dhidi ya mbu hujapata mantiki weye.
ReplyDeleteVery creative.
ReplyDeleteMchana mwewe hakubaliki Na usiku maralia haikubaliki/ mbu hakubaliki ukizingatia mbu waenezao maralia ni wale wanaomng'ata binadamu usiku wa manane.
Hata hivyo utafiti ulifanyika ni wangapi wanaovitaka hivyo vyandarua na kujua wangapi wanavyo vya ziada.
Na je ubora wa vyadarua vya msaada ni sawa na vya kununua Dukani?
Huenda ndoa maana wameamua kukingia vifaranga.
Anonym. wa 08.10 PM umenena.
ReplyDeletemdau 8:10 sio MARALIA ni MALARIA loohhh! aibu!
ReplyDeleteakili mali,Vifaranga vikikuwa hatauza na atanunua vyandarua vya kutosha...ila kwasasa acha kuku wawe geti kali...
ReplyDeletenote: WALIOGAIWA VYANDARUA SI WALE WENYE SHIDA NAVYO..ULITEGEMEA NINI