Home
Unlabelled
dogo mfaume na kazi ya dukani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dodo mfaume huko juu sana yaani umewafunika vibaya mno wakina Mrisho Mpoto ali kiba,marlaw na wasanii kibao, kee it up dogo!
ReplyDeleteKaa mkao wa kula wadau wa usa wanaandaa mpango wa kukuleta huku kwa ziala ambayo utaendele kuwafunika hao wanafunzi wako!!!!!!
we like you!!
This is true tanzanian music and should be promoted....4get about the westernized Bongo flava. Dogo mfaume GIG UP
ReplyDeletemaisha maguhu tu kaka hila ungekuwa mbali!
ReplyDeleteMdau wa kwanza,Kiswahili chako kibovuuuuuuuuuuuu utadhani unatoka DR.Congo.
ReplyDeletemwenzangu vidole na macho , ha ha ha ila unavyobana pua acha mtu wangu usiimbie puani
ReplyDeleteDogo Mfaume huyo "stage show" wako mwanamama mwenye suruari nyeupe, mwambie taratibu hiyo minenguo ni hatari ya danger
ReplyDeleteHii video mi hua napenda pale mwisho kwa mchizi alivaa kanzu na pensi ndania anavyo chezo na kimugongomugongo, yaani typical mchiriku schene. Ukihudhuria lazima mfukoni uwe huna kitu na kuvaa kandambili tu. Kubakwa whether uwe mwanamume au mwanamke kwenye michiriku ilikuwa jambo la kawaida sana enzi hizoo
ReplyDeletenaungana na mdau wa hapoa juu ni kweli kabisa huyo dogo yupo juu sana ni mfano tosho!!!
ReplyDeletemdau uk!
Jamani!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUngekuwa unaongea nisingeandika, lakini hata kuandika nako ni mother tongue????????????
Naomba nikufundishe bure;
Si "HUKO JUU" Ni Uko juu.
Si "ZIALA" Ni Ziara.
Usituchefue tena, sawa????????????
wewe unayejifanya kurekebisha watu huna lolote wivu umekujaa dogo yuko juu ile mbaya sana zaidi yako!
ReplyDeletekaa kimya ufundishwe kwani wewe bado mchanga!
nadhani ulikuwa umeandika uchafu wako 10:08:00
Ni sawa kabisa huyu kijana anajitaidi sana tanzania tumekosa tutoke vipi kila mtindo hapa hapa, nadhani kama wasanii wengi wakichukua staili ya dogo mfaume tutakwenda mbali kuliko hii ya kuiga nje kwakweli hatuna cha kujivunia hapa kwa mziki wa bongo.
ReplyDeleteDogo anahitaji msaada, kafuria kishenzi, kwani inasemekana kachukua kazi ya mtu na sasa ana mgogoro na hanufaiki na chochote, Michuzi plz kama utapata muda fuatilia rumours hizi.
ReplyDelete