Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Dodo mfaume huko juu sana yaani umewafunika vibaya mno wakina Mrisho Mpoto ali kiba,marlaw na wasanii kibao, kee it up dogo!
    Kaa mkao wa kula wadau wa usa wanaandaa mpango wa kukuleta huku kwa ziala ambayo utaendele kuwafunika hao wanafunzi wako!!!!!!

    we like you!!

    ReplyDelete
  2. This is true tanzanian music and should be promoted....4get about the westernized Bongo flava. Dogo mfaume GIG UP

    ReplyDelete
  3. maisha maguhu tu kaka hila ungekuwa mbali!

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza,Kiswahili chako kibovuuuuuuuuuuuu utadhani unatoka DR.Congo.

    ReplyDelete
  5. mwenzangu vidole na macho , ha ha ha ila unavyobana pua acha mtu wangu usiimbie puani

    ReplyDelete
  6. Dogo Mfaume huyo "stage show" wako mwanamama mwenye suruari nyeupe, mwambie taratibu hiyo minenguo ni hatari ya danger

    ReplyDelete
  7. Hii video mi hua napenda pale mwisho kwa mchizi alivaa kanzu na pensi ndania anavyo chezo na kimugongomugongo, yaani typical mchiriku schene. Ukihudhuria lazima mfukoni uwe huna kitu na kuvaa kandambili tu. Kubakwa whether uwe mwanamume au mwanamke kwenye michiriku ilikuwa jambo la kawaida sana enzi hizoo

    ReplyDelete
  8. naungana na mdau wa hapoa juu ni kweli kabisa huyo dogo yupo juu sana ni mfano tosho!!!

    mdau uk!

    ReplyDelete
  9. Jamani!!!!!!!!!!
    Ungekuwa unaongea nisingeandika, lakini hata kuandika nako ni mother tongue????????????
    Naomba nikufundishe bure;
    Si "HUKO JUU" Ni Uko juu.
    Si "ZIALA" Ni Ziara.

    Usituchefue tena, sawa????????????

    ReplyDelete
  10. wewe unayejifanya kurekebisha watu huna lolote wivu umekujaa dogo yuko juu ile mbaya sana zaidi yako!

    kaa kimya ufundishwe kwani wewe bado mchanga!

    nadhani ulikuwa umeandika uchafu wako 10:08:00

    ReplyDelete
  11. Ni sawa kabisa huyu kijana anajitaidi sana tanzania tumekosa tutoke vipi kila mtindo hapa hapa, nadhani kama wasanii wengi wakichukua staili ya dogo mfaume tutakwenda mbali kuliko hii ya kuiga nje kwakweli hatuna cha kujivunia hapa kwa mziki wa bongo.

    ReplyDelete
  12. Dogo anahitaji msaada, kafuria kishenzi, kwani inasemekana kachukua kazi ya mtu na sasa ana mgogoro na hanufaiki na chochote, Michuzi plz kama utapata muda fuatilia rumours hizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...