Umati ukimsikiliza JK mjini Bukene wakati wa
mwanzo wa ziara yake ya kampeni mkoani Tabora
Maelfu wakimsikiliza JK mjini Nzega

Umati mkubwa ulijitokeza uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kumsikiliza JK

JK akiingia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
JK akigonganisha tano na wakaazi wa Tabora
Sehemu ya umati wa mjini Tabora
JK akihutubia Tabora
JK akimnadi mgombea ubunge Tabora Mjini Alhaj Ismail Aden Rage
Mgombea ubunge Tabora Mjini Ismail Aden Rage akipiga soga na waandishi Ibrahim Bakari wa Mwananchi (shoto) na Halfan Saidi wa The Guardian uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora
JK akiongea na Bahati Iddi Nzimano, mwanadada mwenye ulemavu wa kutokuwa na mikono yote miwili ambaye mwaka juzi alimsaidia mtaji wa kufungua biashara na sasa Bahati maisha yake ni mswano kabisa licha ya ulemavu alionao. Bahati akiwa na ankal na mtaalamu wa kushuti video Adam Gire uwanjani hapo












Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nimemkubali braza JK (au braza K)

    ReplyDelete
  2. i can't believe that so many people still got time to go and listen to the stuff...still.

    ReplyDelete
  3. LOL adam gire??? huyu huyu wa dit? umekuwa mbaba kwakweli. all the best.

    ReplyDelete
  4. The real test of leadership is not where you start out but where you end up.

    I urge you my fellow Tanzanians let us go back to 2006 when Jakaya Kikwete started and where he has ended to day would you not say that he deserves another term of five years?

    Again let us look at the following as a proof of his effective leadership:

    1. He has unquestionable character morally as well as legally. He has been led by the rule of law and not by emotional mumbo jumbo.
    2. He has built the right kind of relationships with all Tanzanians across the board including civic, religious as well political organizations. Where disaster happened he has shared in the grief; where there have been festivities he has been there.
    3. He is knowledgeable and for this he is respected internationally and earned our country honour and respect from other international leaders.
    4. He has immense experience in running state affairs. No doubt.
    5. His ability has stood the test of time.
    6. He has been able to make the government record successes in many areas of human endeavour. Every economic, social and political sectors a number of successes has been recorded.

    Anyone can steer a ship but it takes a leader to chart the course and that leader is Jakaya Mrisho Kikwete. Other candidates have yet to show in tangible terms that they can chart a course. If engaging in a tirade of outburst and diatribes is anything to go by, I am sorry then these are better at being civic activists and not leaders.

    As a good leader JK has remained focused controlling his direction and not being controlled by it. In this regard he has been able to see more than others see, he sees farther than others see and he sees before others do.

    VOTE JK in 2010

    ReplyDelete
  5. chama kubwa hilo!!!1000% KIKWETE oyeeee

    ReplyDelete
  6. Nakumbuka Kariakoo - Saigon, hawa wote (JK& IR)walikuwa wanachama kila la kheri Aden Mh Mbunge wa Tobora

    ReplyDelete
  7. Yaani watanzania wanatia huruma sana!!!!!!! Bado wanakimbilia hizi shughuli na maisha magumu waliokuwa nayo. Mnapigwa jua kweli!!!!! Inauma sana. Oyeeee kwa mafisadi. Na litawachwea sana mpaka miaka mingine mitano iishe. Kazi kwenu. Nikaa huku ULAYA na USA najibebea mabox na kuwafuta wazee. Huku nyie mnashangilia maisha ya watu wengine. Wacha liwachweeeeeeeeeeeeeeee na ngozi ziwe nyeusi.

    Mdau USA

    ReplyDelete
  8. Unajua Michuzi, Padri ndio mtu pekee anayeweza kusema kama yeye ni Padri ama si Padri...Sisi wengine huwa tunasema tu Padri huenda ana demu ama mke, tunahisi tu ila ukweli anaujua mwenyewe... Najua unajua wazi kama JK anafaa ama hafai (moyoni mwako) ila kwa vile una njaa, unajilazimisha kumtetea sana endelea tu ila hakuna mwanzo lisilo na mwisho....Bana na hii ila u know him better...Unaona suala la nyongeza ya mshahara ulioahidiwa jukwaani, upo wapi? U knw it better Ankal...laana na iwe juu ya wote wanaoifisadi hii nchi! Sijamaliza ila nadhani unaiua blog yako taratiiibu...Sijui utaandika nini JK akishindwa, usiwe kama Marlaw kaka, Marlaw kaamua kujitosa na kugawa washabiki wake, ngoja tuone baada ya 31Oct kama atakuwa na cha kuegemea...atatoswa tu kama wanaume 2005, kwani walipewa nini cha ajabu?...endeleeni

    ReplyDelete
  9. CCM, Tuendelee na kampeni zetu ili tuhakikishe kila mpiga kura anajitokeza siku ya uchaguzi na kuwapigia kura Nd. JK na wagombea wote wa CCM. Viva CCM!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...