JK akisalimiana na wananchi wa Kata ya Lupembe,wilayani Njombe, wakati alipowasili na kuwahutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.
JK akicheza pamoja na wananchi wa Kata ya Lupembe muda mfupi baada ya kuwasili katika kata ya Lupembe wilayani Njombe na kuwahutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.
JK akisalimiana na baadhi ya Wazee wa kata ya Lupembe wilayani Njombe,mkoani Iringa pindi alipokuwa akiwasili katika kata ya Lupembe na kuhutbia katika mkutano mkubwa wa Kampeni.picha na Freddy Maro. 

Hivi wadau Editorial ya Daily News leo mmeiona??
ReplyDeleteIko kwenye mstari kweli!!
Hi! Kipenzi cha watu JK anaserebuka na sebene na wananchi ktk sebene la JK2010? hakuna wa kumzuia
ReplyDelete