Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. CHADEMA mpo? Hampo..... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

    ReplyDelete
  2. Anon 01:39 am. Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na ubongo kama wa kuku.

    Maumimivu ya miaka kumi hayo!

    ReplyDelete
  3. Chademaa Mpo, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.. Mhhh... hayyaa!

    ReplyDelete
  4. Namshauri Marlaw aanze kucontrol unene. Ni suala binafsi lakini kwa kuwa ni public figure tunaweza kushauri. Apungue kidogo atakuwa fit zaidi. kama mtaizuia comment hii basi mtumieni kwenye simu yake ya mkononi au nipeni namba yake.La muhimu ni yeye kupata huu ushauri usiolipiwa.

    ReplyDelete
  5. MICHUZI!!!!!, KWENDA ZAKO

    ReplyDelete
  6. Hawa si ndiyo wale waliopewa pesa jukwaani?

    ReplyDelete
  7. Hii NGO YA WAMA inayoendeshwa na mke wa raisi nayo ni chama cha siasa? mbona kinaendeshwa kama kitengo cha CCM? kwani kinafanya kampeni za CCM kwa kutumia pesa za wananchi.

    ReplyDelete
  8. WATANZANIA HATUTAAMKA, TUKO KWENYE USNGIZIZI MKALI SANA! MUNGU TUSAIDIE ....! TUAMSHE TUIKIMBIE HII SSM. yaani kawimbo kaovyo haka kanampumbaza mwenzetu hapo juu mpaka anajinyea ....! KA!!!!!

    ReplyDelete
  9. Kwa maana jinsi hii MUNGU ameipenda Tanzania hata amemtuma Dr. SLAA aje kutukomboa ili kila Mtanzania atakayemkubali na kumchagua apate UKOMBOZI wa kweli dhidi ya UFISADI wa RASILIMALI za nchi yetu, Tumekandamizwa vya kutosha na CCM tangu mwaka 1985. TANZANIA BILA CCM, INAWEZEKANA!!!

    ReplyDelete
  10. Mimi nauliza kaswali kangu haka. Bongo ni mshiko tu. Hawa wasanii wapo ccm kuifagilia au ndo mshiko? Maana nakumbuka 1994 jamaa Fulani walitaka kutushawishi eti band yeti itunge limbo wa ccm tutapata mshiko! Tulikataa maana afrika hatuyaendelea Kama Akina marlaw wanaimbia ccm sababu ya mshiko. Huyo marlaw mwenyewe ukiondoa hako kamshiko Hana kazi. Sass Hilo ni kuzibia vijana wengine maendeleo. Mtanzania chagua chama chochote hata ccm mradi sera zinakubalika na siyo akina limbwende marlaw na mishiko ya ki- snitch.

    ReplyDelete
  11. kweli pesa ni noma duh ankallllll huko kwenye msafara wa kampeni za jk basi tena tumetoka kwenye blog ya jamii imebaki ya ccj haya ankalll

    ReplyDelete
  12. Anon Fri Sep 03, 04:23:00 AM

    wewe ndio una ubongo wa kuku

    ReplyDelete
  13. Fikirieni makubwa, nyie mdanganywa na hizo fulani na vihela mbuzi. mtubaki kuchezesha viuno tu majikwani kitu ambacho hakina tija kwenu zaidi ya kuganga mchaa tu.

    ReplyDelete
  14. Huu wimbo haina maana yeyote, CCM ndio hawaelewani sio vyama vingine. Hujaona kwamba watu wa CCM kibao wamehamia CHADEMA na CUF?

    ReplyDelete
  15. Wasanii wa bongo njaa zenu zitawaweka pabaya. Wakisha chagulia tutasikia ohoo serikali haidhimini kazi za wasanii, ohoo haki zetu hazilindwi. Kwani wakati wa kupiga kura hamjui au mnalewa na pilau na hela mbuzi

    ReplyDelete
  16. HAYO MANENO TU HATA KWENYE KANGA YAPO CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  17. mimim sio shabiki wa chama chochote ila ukweli ni kwamba ccm kuna viongozi shupavu na wakweli pia jk amefanya kazi kubwa ingawaje hakua rais ambaye anaweza akakalia kile kiti bila lawama hata angekuwa rais ni yesu au mtume bado lawama zingekuwepo ukweli jk kuna viongozi wengi sana wanao muangusha mtaani tunao kibao wanatoa rushwa wazi wazi, pia upinzani kunaviongozi safi na pia wapo ambao sio safi tunawaona hata kwamacho mtu ukimwangalia unase mmm huyu!! nikimpakula huyu!! lazima ataiba tu!!so muda huu hatuangalii chama kama kiongozi mbovu tunakupiga chini bilakujali ccm wala cchadema big up viongozi wote bora ktk vyama vyote vya siasa tanzania mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  18. haya semeni chadema sasa mmezusha udini kazi kwenu ccm juuuuuuuuuuuuu hamna maumivu jakaya oyeeeeeeeeeeeee wengine mtakufa na roho mbaya zenu form mamy

    ReplyDelete
  19. michuzi ankal... we ni kiboko!! umeamua kuwashushia na mistari kabisa ha ha haaaa!!!

    ReplyDelete
  20. CCM tuhakikishe tunawaliza chadema kama tulivyowaliza nccr miaka ya 1990's. CCM MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.

    ReplyDelete
  21. CCM tuhakikishe tunawaliza chadema kama tulivyowaliza nccr miaka ya 1990's. CCM MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.

    ReplyDelete
  22. CCM juu..juu, juu, juu zaidi.

    ReplyDelete
  23. Mgejua huyo Marlaw anafanya hivyoo kwa maslahi yake binafsi(ameshachukua mshiko).

    Nyie mnayesema kidumu chama cha mapenduzi mtaendelea kupata taabu kwa miaka mitano ijayo.Kweli nawaambia.

    ReplyDelete
  24. ivi unapenda chama ili iweje?au unachagua mgombea mwenye nia ya dhati kwa sera zake kukomboa nchi na wanainchi???

    kweli wee annon # vuvuzela kwelikweli...ss watu wakishashangilia ivo then miaka 5 mbele wanapata nini?na nyie ndo wa kwanza kulalama ufisadi,ooh ajira,sijui nn ilhali mnachagua chama kwa kulubuniwa na nyimbo izo!
    ivi ni lini mtatoka ktk ujinga wa ushabiki na kuangalia hali yako kwanza na mustakhabali wa nchi hii?

    naskia huruma sana kwa akili za watu km nyie mnaouza kura zenu kwa nyimbo na sare

    ReplyDelete
  25. Wasanii njaa tupu hata Idd Amin wangemuimbia tu hihihihi njaa noma sana...

    ReplyDelete
  26. Huyu aangalii anavyoteswa na muziki wake apo anapata sifa hakuna pesa wenzake wamezila na anawatengenea wakale pesa za umma unajua bongo flava kama big kesho umechuja hao watakucheka shauli yako unalewa sifa unawasaliti wasanii wenzako wanaodai haki miliki au wewe umeshapata mlahaba.

    ReplyDelete
  27. mmmh! Kwa pesa kidogo, umesahau malalamiko yenu ya hati miliki na kuwajali wasanii mliyokuwa mnalialia miaka 5 iliyopita.
    Yaan na wewe elimu yako ya form6 haijakusaidi unakuwa sawa na hao wengine. Nilikuwa fun wako but from today basi tena,umeniboar.

    ReplyDelete
  28. Y ? unasema CHADEMA tuu, kwan vyama vingine huvion.
    Kumbe mnajua tunatishaa!! mwaka huuu itakula wenu.

    Vivaaaaaaaa Dk Slaa!!!

    ReplyDelete
  29. Y ? unasema CHADEMA tuu, kwan vyama vingine huvion.
    Kumbe mnajua tunatishaa!! mwaka huuu itakula wenu.

    Vivaaaaaaaa Dk Slaa!!!

    ReplyDelete
  30. America au India nchi zenye Demokrasia thabiti hazina vitu kama hivyo waimbaji huru kuiimbia chama kilichopo madarakani... Niabu kweli sijui kama watu tutaweza kuwa na udhabiti wa haki... angalia hamna sera mmesha jua CCM itashinda... aibu sana

    ReplyDelete
  31. Wasanii wabongo wote wamenunuliwa na sisi emu,njaa/masilahi ndio inatufanya tushabikie sisi emu,cheki kijana mdogo unashabikia sisi emu,ushauri wa bure fanyezi maumuzi sio kwa manufaa ya tumbo kwa sasa,lazima tupiganie kwa ajili kwa ajili wizazi vijavyo,au watoto zetu

    ReplyDelete
  32. Kila kukicha anazidi kunenepa kitambi kinakuja na uzuri unakwisha, shangilia CCM lakini mwisho wake utakua mbwia unga unaoletwa na wazee wako wa CCM

    ReplyDelete
  33. Piipiipii move out of the way hatukuja kupoteza time, tutashinda kwa kishindo na Jakaya ni rais!

    Ukiangalia wanavyogombana, utasema huu mwimbo kweli size yao!

    Chadema ya Zitto Vs Chadema ya Mbowe

    Chadema Vs CUF

    Mara tuweke mgombea mmoja, mara mmekiuka makubaliano, mara mmekula pesa za ruzuku! MAVUVUZELAAAAA! AAAAA!

    na wale wasanii wanaoimba kwenye kampeni zenu wana nini kama sio njaa na wao! ooh, uuh, Vuvuzelaa!

    Mtabakia hivyo hivyo na matusi yenu hayooo CCM ni ZAIDIIIIIIIII!

    ReplyDelete
  34. Mpiga kura ya Yes to JKSeptember 03, 2010

    Wewe Anon wa Tarehe Fri Sep 03, 08:34:00 AM. Unanukuu maneno matakatifu kwa kumtukuza Slaa? Lo huna maana wewe. Sasa sisi tunakesha tukisali sala ifuatayo: Ee Mungu wangu,tunaomba kwa unyenyekevu uwapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, na kama makapi yapeperushwayo na upepo hao akina Slaa, Mbowe na CHADEMA yao nje ya uso wa Tanzania. Wale wote waichukiao CCM na Serikali yake na warudishwe nyuma kwa aibu. Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua

    ReplyDelete
  35. Nyie wazushi hapo juu Mnalialia oo dr Slaa atawakomboa,kaeni hivyo hivyo mlegeee kaza buti wewe utatoka tu.CCM oyeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  36. Eee! hakuna haja ya matusi.
    Kijana katumia kipaji chake kukonga nyoyo za watu. Je wengine walikuwa wapi kufikiria kitu cha hivi?

    Pale penye vuvuzela pamenikuna sana! Mnafaa sana na CCM ni JUU JUU ZAIDI!.

    ReplyDelete
  37. Mbona washabiki wa chadema wanawatukana watu wote wanaoamua kukiunga mkono CCM? Hiyo "DE" kwenye chadema ni 'democrasia' au ni 'diahrrea (verbal)'. Ijapokuwa mimi ni Muiraqw (Mmbulu) SITAMPIGIA slaa kura ng'oo. hatekelezi ahadi zake, kazi yake kutoa ahadi za uongo tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...