Home
Unlabelled
kibao cha CCM cha marlaw na vuvuzela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CHADEMA mpo? Hampo..... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
ReplyDeleteAnon 01:39 am. Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na ubongo kama wa kuku.
ReplyDeleteMaumimivu ya miaka kumi hayo!
Chademaa Mpo, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.. Mhhh... hayyaa!
ReplyDeleteNamshauri Marlaw aanze kucontrol unene. Ni suala binafsi lakini kwa kuwa ni public figure tunaweza kushauri. Apungue kidogo atakuwa fit zaidi. kama mtaizuia comment hii basi mtumieni kwenye simu yake ya mkononi au nipeni namba yake.La muhimu ni yeye kupata huu ushauri usiolipiwa.
ReplyDeleteMICHUZI!!!!!, KWENDA ZAKO
ReplyDeleteHawa si ndiyo wale waliopewa pesa jukwaani?
ReplyDeleteHii NGO YA WAMA inayoendeshwa na mke wa raisi nayo ni chama cha siasa? mbona kinaendeshwa kama kitengo cha CCM? kwani kinafanya kampeni za CCM kwa kutumia pesa za wananchi.
ReplyDeleteWATANZANIA HATUTAAMKA, TUKO KWENYE USNGIZIZI MKALI SANA! MUNGU TUSAIDIE ....! TUAMSHE TUIKIMBIE HII SSM. yaani kawimbo kaovyo haka kanampumbaza mwenzetu hapo juu mpaka anajinyea ....! KA!!!!!
ReplyDeleteKwa maana jinsi hii MUNGU ameipenda Tanzania hata amemtuma Dr. SLAA aje kutukomboa ili kila Mtanzania atakayemkubali na kumchagua apate UKOMBOZI wa kweli dhidi ya UFISADI wa RASILIMALI za nchi yetu, Tumekandamizwa vya kutosha na CCM tangu mwaka 1985. TANZANIA BILA CCM, INAWEZEKANA!!!
ReplyDeleteMimi nauliza kaswali kangu haka. Bongo ni mshiko tu. Hawa wasanii wapo ccm kuifagilia au ndo mshiko? Maana nakumbuka 1994 jamaa Fulani walitaka kutushawishi eti band yeti itunge limbo wa ccm tutapata mshiko! Tulikataa maana afrika hatuyaendelea Kama Akina marlaw wanaimbia ccm sababu ya mshiko. Huyo marlaw mwenyewe ukiondoa hako kamshiko Hana kazi. Sass Hilo ni kuzibia vijana wengine maendeleo. Mtanzania chagua chama chochote hata ccm mradi sera zinakubalika na siyo akina limbwende marlaw na mishiko ya ki- snitch.
ReplyDeletekweli pesa ni noma duh ankallllll huko kwenye msafara wa kampeni za jk basi tena tumetoka kwenye blog ya jamii imebaki ya ccj haya ankalll
ReplyDeleteAnon Fri Sep 03, 04:23:00 AM
ReplyDeletewewe ndio una ubongo wa kuku
Fikirieni makubwa, nyie mdanganywa na hizo fulani na vihela mbuzi. mtubaki kuchezesha viuno tu majikwani kitu ambacho hakina tija kwenu zaidi ya kuganga mchaa tu.
ReplyDeleteHuu wimbo haina maana yeyote, CCM ndio hawaelewani sio vyama vingine. Hujaona kwamba watu wa CCM kibao wamehamia CHADEMA na CUF?
ReplyDeleteWasanii wa bongo njaa zenu zitawaweka pabaya. Wakisha chagulia tutasikia ohoo serikali haidhimini kazi za wasanii, ohoo haki zetu hazilindwi. Kwani wakati wa kupiga kura hamjui au mnalewa na pilau na hela mbuzi
ReplyDeleteHAYO MANENO TU HATA KWENYE KANGA YAPO CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletemimim sio shabiki wa chama chochote ila ukweli ni kwamba ccm kuna viongozi shupavu na wakweli pia jk amefanya kazi kubwa ingawaje hakua rais ambaye anaweza akakalia kile kiti bila lawama hata angekuwa rais ni yesu au mtume bado lawama zingekuwepo ukweli jk kuna viongozi wengi sana wanao muangusha mtaani tunao kibao wanatoa rushwa wazi wazi, pia upinzani kunaviongozi safi na pia wapo ambao sio safi tunawaona hata kwamacho mtu ukimwangalia unase mmm huyu!! nikimpakula huyu!! lazima ataiba tu!!so muda huu hatuangalii chama kama kiongozi mbovu tunakupiga chini bilakujali ccm wala cchadema big up viongozi wote bora ktk vyama vyote vya siasa tanzania mungu ibariki tanzania
ReplyDeletehaya semeni chadema sasa mmezusha udini kazi kwenu ccm juuuuuuuuuuuuu hamna maumivu jakaya oyeeeeeeeeeeeee wengine mtakufa na roho mbaya zenu form mamy
ReplyDeletemichuzi ankal... we ni kiboko!! umeamua kuwashushia na mistari kabisa ha ha haaaa!!!
ReplyDeleteCCM tuhakikishe tunawaliza chadema kama tulivyowaliza nccr miaka ya 1990's. CCM MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
ReplyDeleteCCM tuhakikishe tunawaliza chadema kama tulivyowaliza nccr miaka ya 1990's. CCM MBELE DAIMA, NYUMA MWIKO.
ReplyDeleteCCM juu..juu, juu, juu zaidi.
ReplyDeleteMgejua huyo Marlaw anafanya hivyoo kwa maslahi yake binafsi(ameshachukua mshiko).
ReplyDeleteNyie mnayesema kidumu chama cha mapenduzi mtaendelea kupata taabu kwa miaka mitano ijayo.Kweli nawaambia.
ivi unapenda chama ili iweje?au unachagua mgombea mwenye nia ya dhati kwa sera zake kukomboa nchi na wanainchi???
ReplyDeletekweli wee annon # vuvuzela kwelikweli...ss watu wakishashangilia ivo then miaka 5 mbele wanapata nini?na nyie ndo wa kwanza kulalama ufisadi,ooh ajira,sijui nn ilhali mnachagua chama kwa kulubuniwa na nyimbo izo!
ivi ni lini mtatoka ktk ujinga wa ushabiki na kuangalia hali yako kwanza na mustakhabali wa nchi hii?
naskia huruma sana kwa akili za watu km nyie mnaouza kura zenu kwa nyimbo na sare
Wasanii njaa tupu hata Idd Amin wangemuimbia tu hihihihi njaa noma sana...
ReplyDeleteHuyu aangalii anavyoteswa na muziki wake apo anapata sifa hakuna pesa wenzake wamezila na anawatengenea wakale pesa za umma unajua bongo flava kama big kesho umechuja hao watakucheka shauli yako unalewa sifa unawasaliti wasanii wenzako wanaodai haki miliki au wewe umeshapata mlahaba.
ReplyDeletemmmh! Kwa pesa kidogo, umesahau malalamiko yenu ya hati miliki na kuwajali wasanii mliyokuwa mnalialia miaka 5 iliyopita.
ReplyDeleteYaan na wewe elimu yako ya form6 haijakusaidi unakuwa sawa na hao wengine. Nilikuwa fun wako but from today basi tena,umeniboar.
Y ? unasema CHADEMA tuu, kwan vyama vingine huvion.
ReplyDeleteKumbe mnajua tunatishaa!! mwaka huuu itakula wenu.
Vivaaaaaaaa Dk Slaa!!!
Y ? unasema CHADEMA tuu, kwan vyama vingine huvion.
ReplyDeleteKumbe mnajua tunatishaa!! mwaka huuu itakula wenu.
Vivaaaaaaaa Dk Slaa!!!
America au India nchi zenye Demokrasia thabiti hazina vitu kama hivyo waimbaji huru kuiimbia chama kilichopo madarakani... Niabu kweli sijui kama watu tutaweza kuwa na udhabiti wa haki... angalia hamna sera mmesha jua CCM itashinda... aibu sana
ReplyDeleteWasanii wabongo wote wamenunuliwa na sisi emu,njaa/masilahi ndio inatufanya tushabikie sisi emu,cheki kijana mdogo unashabikia sisi emu,ushauri wa bure fanyezi maumuzi sio kwa manufaa ya tumbo kwa sasa,lazima tupiganie kwa ajili kwa ajili wizazi vijavyo,au watoto zetu
ReplyDeleteKila kukicha anazidi kunenepa kitambi kinakuja na uzuri unakwisha, shangilia CCM lakini mwisho wake utakua mbwia unga unaoletwa na wazee wako wa CCM
ReplyDeletePiipiipii move out of the way hatukuja kupoteza time, tutashinda kwa kishindo na Jakaya ni rais!
ReplyDeleteUkiangalia wanavyogombana, utasema huu mwimbo kweli size yao!
Chadema ya Zitto Vs Chadema ya Mbowe
Chadema Vs CUF
Mara tuweke mgombea mmoja, mara mmekiuka makubaliano, mara mmekula pesa za ruzuku! MAVUVUZELAAAAA! AAAAA!
na wale wasanii wanaoimba kwenye kampeni zenu wana nini kama sio njaa na wao! ooh, uuh, Vuvuzelaa!
Mtabakia hivyo hivyo na matusi yenu hayooo CCM ni ZAIDIIIIIIIII!
Wewe Anon wa Tarehe Fri Sep 03, 08:34:00 AM. Unanukuu maneno matakatifu kwa kumtukuza Slaa? Lo huna maana wewe. Sasa sisi tunakesha tukisali sala ifuatayo: Ee Mungu wangu,tunaomba kwa unyenyekevu uwapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, na kama makapi yapeperushwayo na upepo hao akina Slaa, Mbowe na CHADEMA yao nje ya uso wa Tanzania. Wale wote waichukiao CCM na Serikali yake na warudishwe nyuma kwa aibu. Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua
ReplyDeleteNyie wazushi hapo juu Mnalialia oo dr Slaa atawakomboa,kaeni hivyo hivyo mlegeee kaza buti wewe utatoka tu.CCM oyeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteEee! hakuna haja ya matusi.
ReplyDeleteKijana katumia kipaji chake kukonga nyoyo za watu. Je wengine walikuwa wapi kufikiria kitu cha hivi?
Pale penye vuvuzela pamenikuna sana! Mnafaa sana na CCM ni JUU JUU ZAIDI!.
Mbona washabiki wa chadema wanawatukana watu wote wanaoamua kukiunga mkono CCM? Hiyo "DE" kwenye chadema ni 'democrasia' au ni 'diahrrea (verbal)'. Ijapokuwa mimi ni Muiraqw (Mmbulu) SITAMPIGIA slaa kura ng'oo. hatekelezi ahadi zake, kazi yake kutoa ahadi za uongo tu.
ReplyDelete