Jazz Pianist toka Tanzania Lister Elia akipeperusha bendera ya Taifa hivi karibuni huko Tokyo Japani , kwenye tamasha la muziki wa jazz
(Tokyo Jazz Festival )

Ni jambo la kujivunia kuwa na wanamuziki kama hawa wenye viwango vya kimataifa, na wenye uwezo wa kutuwakilisha kwenye majukwaa ya kimataifa.

Unakaribishwa umtembelee kwenye tovuti yake.
http://www.listerelia.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hii safi kujua muziki si bongoflava tu bali kuna:
    Muziki wa dansi
    Taarab original
    Jazz
    Blues
    Reggae
    Bayankata
    sululu
    Sokomoko
    Afrosa
    likembe
    mchiriku
    n.k n.k

    Asante Lister kwa kuwakilisha na vijana wa sasa 'wanamuziki' wajifunze aina mbalimbali za mitindo ya muziki na kupiga alama, ili kupata maendeleo ya kweli kimuziki.
    Mdau
    Honolulu, Visiwani Pasifiki

    ReplyDelete
  2. Nikiwa ni mmoja wa wale wanaofuatilia shughuli zako na naelewa ulivyo makini kivitendo na kinadharia katika taaluma na fani yako, najua unafanya kazi nzuri sana. Unaitangaza nchi yetu vilivyo, na nakutakia mafanikio zaidi na zaidi. Kwa wadhifa wangu kama mwalimu, nawashauri watu wasome maandishi yako pia.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa ni noma kwa kinanda...alipokuwa bongo alikuwa akipiga Mk Group pale New Africa ule wimbo wa Kibera acha chuki alifunika ile mbaya...safi sana Lister Nkuhuwala Elia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...