Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin ambaye ni gwiji wa ubunifu wa mitindo ya mavazi amenaswa usiku huu na Jiachie Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere alipokuwa akimpokea mumewe Mzee Khamsin kutoka huko Ughaibuni ambaye ametua rasmi kwa ajili ya onyesho la usiku wa Kanga za Kale litakalofanyika ijumaa usiku katika ukumbi wa Diamond VIP.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. huyo mwanamama anapenda mishughuliko, wakati nyumbni kwake kuko shagala bagala huwezi amini ni kwake, kupo ovyo san duka nalo ffull maronya ronya jamani vyote ving'aavyo si dhahabu lol! michu ibane tuu hii, utaisoma japo kimyakimya!!

    ReplyDelete
  2. mh ama kweli si kila kingaracho ni dhahabu mi nilidhani kwake ni pazuri sana.

    ReplyDelete
  3. We mchangiaji wa kwanza ni muongo na mnafiki. Mimi nimefika kwa Dada Asia na nimekuona ni kuzuri kabisa. Pili, mbona hutaji jina lako? Nina hakika hujafika kwake wala humjui. Nadhani una chuki zako za binafsi na issues zinazokusumbua au unajua huwezi kumpata demu kama yeye. Get a life! Mimi M. Minja (Miss). DSM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...