Ndugu,
Tafadhali wasaidie vijana na wazazi/walezi wanaotafuta kuona majina ya waliochaguliwa na TCU kujiunga na Vyuo Vikuu Tanzania.
Anayetaka ajipakulie nakala hapa:
http://bit.ly/c1Fni6
Subi
Tafadhali wasaidie vijana na wazazi/walezi wanaotafuta kuona majina ya waliochaguliwa na TCU kujiunga na Vyuo Vikuu Tanzania.
Anayetaka ajipakulie nakala hapa:
http://bit.ly/c1Fni6
Subi
Jaribu kwenda kwenye hii link kama utaweza kufanikiwa. Nimeweza kwenda bila shida yoyote.
ReplyDeletehttp://74.53.24.105/~saut/selectiontcu.php
Hii ndo maana ya ushirikiano kupitia kwenye blog hata kama watu hamfahamiani, nimefurahi kwa jinsi watanzania tunavyosaidiana kupashana habari maana website ya tcu kimeo inafunguka kwa tabu sana lakini kupitia link hii nimeweza kupata kile nilichotaka. Shukrani Subi kwa uzalendo wako, pamoja tutafika
ReplyDeleteMdau Igwamanoni