HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NA ZA KUTHIBITIKA KABISA, ZINARIPORI KWAMBA MKURUGENZI MSAIDIZI WA BENDI YA MUZIKI WA DANSI YA DIAMOND MUSICA, PERFECT KAGISA 'P. DIDDY' (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA.
P. DIDDY AMBAYE ALIKUWA NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI MAARUFU WA TBC1,MAIMATHA JESSE AMEPATWA NA MAUTI HAYO LEO HII WAKATIKA AKIWA KATIKA MATEMBEZI YAKE YA KILA SIKU BAADA YA KUANGUKA GHAFLA KATIKA BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM
MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.
TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.
P. DIDDY AMBAYE ALIKUWA NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI MAARUFU WA TBC1,MAIMATHA JESSE AMEPATWA NA MAUTI HAYO LEO HII WAKATIKA AKIWA KATIKA MATEMBEZI YAKE YA KILA SIKU BAADA YA KUANGUKA GHAFLA KATIKA BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM
MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.
TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.
Duh..R.I.P, SO YOUNG TO GO.
ReplyDeletepoleni wafiwa inasikitisha sana sana...lakini jamani tuwe na tabia ya kupima afya zetu na mazoezi kidogo...
ReplyDeletePole shostito ndo dunia kufa kufiliwa ni mambo ya kawaida.
ReplyDeleteInna lilahi wa ina ilahi rajioon....alikuwa jirani yangu maskini, mungu akupumzishe kwa amani.
ReplyDeletePole sana Maimatha wa Jesse, ni kipindi kigumu sana kwako kwa kuondokewa na hasband to be wako.Ewe MUNGU mzidishie nguvu dada yetu. Poleni sana familia ya P.Didy.
ReplyDeleteRIP KAKA MAISHA YA AFRICA SI MAISHA WATU WENGI WANAKUFA KABLA YA SIKUZAO!!
ReplyDeleteRIP yote ni mipango ya mungu. Alipoamka asubuhi aliaga atarudi... kweli kazi ya mungu haina makosa.. Poleni wafiwa
ReplyDeleteMungu akikutaka anytime, anywhere anakuchukua....
ReplyDeletePOLENI SANA WAFIWA, POLE SANA MAIMARTHA
ReplyDeletePOLE DADA YANGU MAIMARTHA KWA KUFIWA NA UMPENDAE NI MAPENZI YA MUNGU UTAMPATA MWINGINE MUOMBE MOLLA NA UMUOMBEE APUMZIKE KWA AMANI HUKO TUSIKOKUJA BY MKUKI
ReplyDeleteOoh poor thing, so sad. May the lord almighty rest his soul in eternal peace,amen. Ippy
ReplyDeletekweli inauma na inasikitisha,
ReplyDeletekwanini wewe kifo hauna huruma????
RIP kaka yetu,
pole sana maimatha na familia nzima,
mdau toka United State Of America,
May his soul rest in Peace.Amen.
ReplyDeletepuff mshikaji wangu ndo umetutoka poleni sana wana familia na washikaji wote wa kishoju sec back 1986-88 before we were kick out RIP PUFF I KNOW GUYS YOU REMEMBE WHEN HE USE TO B DANCE BACK THEN
ReplyDeleteRIP Puff... You will be missed!!!
ReplyDeleteR.P.I Puff I will always miss you, your were the best friend that I will never ever have...Pole sana sana Mai Mungu akupe nguvu..
ReplyDeletemai wa jesse pole sana kwa kuondokewa na mchumba wako, Mungu ampumzishe kwa amani
ReplyDeleteR.I.P....ila hapa ndugu zangu tunajifunza nini,kila mda inabidi tumfikirie m/mungu kwani mauti huja mda wowote.
ReplyDeletepoe sana mfiwa lakini jina la marehem ni p diddy mnisaidie au jina lake ni nani?
ReplyDeleteInasikitisha sana. Poleni sana wafiwa.
ReplyDeletemaskini perfect alikua jirani yangu tumekua pamoja imesikitisha sana poleni sana pamela,ken,paula,pascar and anna tuko pamoja nanyi ktk kipindi hiki cha maombolezo.
ReplyDeleteRIP puff
POLE SANA MAIMATHA ILA KWA UPANDE MWINGINE HONGERA MAANA HUNA TENA KESI YA KUJIBU MAANA JUZIJUZI AMEKUPELEKA MAHAKAMANI KWA KUVUNJA DUKA LAKE BAADA YA NYIE KUACHANA. SASA KULA RAHA DADA! MTAKUTANA HUKOOOOO SIKU IKIFIKA.
ReplyDeletepole sana dada ila kifochake kimesababishwa na kipogo cha police au??????? dada mai wewe si ndio ulimpeleka police waka mpiga..........
ReplyDeletePole sana my dear Mai, mungu akupe nguvu na kuwa faraja yako katika kipindi hiki kigumu,ni hali ngumu sana kufiwa na umpendae lakini faraja ya mungu ni ya ajabu. Pole sana Mai.
ReplyDeleteLina D
RIP.
ReplyDeleteIt is sad when you lost someone so young however we need to comes to terms with life and death as it is. We are in this world not forever we need to comes to terms with death, no matter how harsh it may sound, whether you are a believer or an Atheist ( non believer)when it comes it will spear no one. We also need to look deep about ourselves, our lifestyles, etc as doing so will help us more than mere saying that it was meant to happen!
RIP Puff,,, MUNGU AKUPUMZISHE PEMA PEPONI,, WE ALL PRAY 4 YOU!! TUKO NJIA MOJA
ReplyDeleteWEWE UNON HAPO JUU ULIEULIZA JINA KAMILI HUJAONA KAKA MICHUZI KAANDIKA KABISA JINA LA MAREHEMU NA A.K.A YAKE??? NDO NINYI HAMSOMI HEADING MNAANZA COMMENT STRAIGHT AWAY....
READ B4 COMMENTING PLIZ!!!
......Buriani mdogo wangu P.Diddy !
ReplyDeleter.i.p. perfect.. kaka mithupu, naskia p diddy alipigwa na mapolisi na akawa na maumivu ya uti wa mgongo, is it true? na alikuwa under so much stress jana.. kama ni ukweli kaka michuzi tunaomba muiweke hii habari wazi.. sawa? huu mchezo wa raia kupigwa hovyo ipo siku utakomeshwa.. tunaomba ukweli wa chanzo cha hii habari kaka misupuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteHuyo Maimartha hastahili kupewa pole, kijana wa watu alitaka kumuoa yeye kila siku anamzulia vagi ona sasa kafariki kabla hawajafunga ndoa. Mara ya mwisho Mai alimtibua majuzi tu na kijana wa watu aliomba radhi..poleni Diamond Musica kwa msiba wa kiongozi wenu
ReplyDeleteMaimartha ni nani ivi!?
ReplyDeletesamahanini kwa kuuliza.
= = =
Buffalo,
New York
pole sana wote mliopatwa na msiba especially meimartha R.I.P Piddy
ReplyDeletemaskini duuh so sudden...may he rest in peace...mungu akujenge moyo wa ujasiri mai...kaka muhidin...aksante kwa taarifa hizi.
ReplyDeletenana mollel
R.I.P!
ReplyDeletemdau wa Buffalo NEw york
ReplyDeleteMaimartha ni mtangazaji amarufu alianzia afro ebat EATV na sasa yupo TBC kama uliondoka muda mrefu bila shaka humfahamu. Yeye pia huwa MC kweney shuguli mbali mbali.
mdau wa buffalo ingia google andika tu jina lake utamuona picha za kumwaga, wafiwa poleni sana
ReplyDeleteRIP KAKA
ReplyDeletePOLE NA HONGE MAI, NYIE MNAOJIITA SUPER STAAR WA BONGO SIWAELEWI KABISA, MARA UCHUMBA UNAVUNJIKA MARA UNARUDI. UNGEKUWA UNA MTOTO WA NDOA YAKO WAPI CHACHA? POLE CHOSTITO