HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NA ZA KUTHIBITIKA KABISA, ZINARIPORI KWAMBA MKURUGENZI MSAIDIZI WA BENDI YA MUZIKI WA DANSI YA DIAMOND MUSICA, PERFECT KAGISA 'P. DIDDY' (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA.

P. DIDDY AMBAYE ALIKUWA NI MCHUMBA WA MTANGAZAJI MAARUFU WA TBC1,MAIMATHA JESSE AMEPATWA NA MAUTI HAYO LEO HII WAKATIKA AKIWA KATIKA MATEMBEZI YAKE YA KILA SIKU BAADA YA KUANGUKA GHAFLA KATIKA BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, JIJINI DAR ES SALAAM

MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA KATIKA HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI ZAIDI.

TUNAENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU NA TUTAWALETEA KILA KITAKACHOKUWA KINAJIRI KATIKA MSIBA HUU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. Duh..R.I.P, SO YOUNG TO GO.

    ReplyDelete
  2. poleni wafiwa inasikitisha sana sana...lakini jamani tuwe na tabia ya kupima afya zetu na mazoezi kidogo...

    ReplyDelete
  3. Pole shostito ndo dunia kufa kufiliwa ni mambo ya kawaida.

    ReplyDelete
  4. Inna lilahi wa ina ilahi rajioon....alikuwa jirani yangu maskini, mungu akupumzishe kwa amani.

    ReplyDelete
  5. Pole sana Maimatha wa Jesse, ni kipindi kigumu sana kwako kwa kuondokewa na hasband to be wako.Ewe MUNGU mzidishie nguvu dada yetu. Poleni sana familia ya P.Didy.

    ReplyDelete
  6. RIP KAKA MAISHA YA AFRICA SI MAISHA WATU WENGI WANAKUFA KABLA YA SIKUZAO!!

    ReplyDelete
  7. RIP yote ni mipango ya mungu. Alipoamka asubuhi aliaga atarudi... kweli kazi ya mungu haina makosa.. Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  8. Mungu akikutaka anytime, anywhere anakuchukua....

    ReplyDelete
  9. POLENI SANA WAFIWA, POLE SANA MAIMARTHA

    ReplyDelete
  10. POLE DADA YANGU MAIMARTHA KWA KUFIWA NA UMPENDAE NI MAPENZI YA MUNGU UTAMPATA MWINGINE MUOMBE MOLLA NA UMUOMBEE APUMZIKE KWA AMANI HUKO TUSIKOKUJA BY MKUKI

    ReplyDelete
  11. Ooh poor thing, so sad. May the lord almighty rest his soul in eternal peace,amen. Ippy

    ReplyDelete
  12. kweli inauma na inasikitisha,
    kwanini wewe kifo hauna huruma????
    RIP kaka yetu,
    pole sana maimatha na familia nzima,
    mdau toka United State Of America,

    ReplyDelete
  13. May his soul rest in Peace.Amen.

    ReplyDelete
  14. puff mshikaji wangu ndo umetutoka poleni sana wana familia na washikaji wote wa kishoju sec back 1986-88 before we were kick out RIP PUFF I KNOW GUYS YOU REMEMBE WHEN HE USE TO B DANCE BACK THEN

    ReplyDelete
  15. RIP Puff... You will be missed!!!

    ReplyDelete
  16. R.P.I Puff I will always miss you, your were the best friend that I will never ever have...Pole sana sana Mai Mungu akupe nguvu..

    ReplyDelete
  17. mai wa jesse pole sana kwa kuondokewa na mchumba wako, Mungu ampumzishe kwa amani

    ReplyDelete
  18. R.I.P....ila hapa ndugu zangu tunajifunza nini,kila mda inabidi tumfikirie m/mungu kwani mauti huja mda wowote.

    ReplyDelete
  19. poe sana mfiwa lakini jina la marehem ni p diddy mnisaidie au jina lake ni nani?

    ReplyDelete
  20. Inasikitisha sana. Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete
  21. maskini perfect alikua jirani yangu tumekua pamoja imesikitisha sana poleni sana pamela,ken,paula,pascar and anna tuko pamoja nanyi ktk kipindi hiki cha maombolezo.
    RIP puff

    ReplyDelete
  22. POLE SANA MAIMATHA ILA KWA UPANDE MWINGINE HONGERA MAANA HUNA TENA KESI YA KUJIBU MAANA JUZIJUZI AMEKUPELEKA MAHAKAMANI KWA KUVUNJA DUKA LAKE BAADA YA NYIE KUACHANA. SASA KULA RAHA DADA! MTAKUTANA HUKOOOOO SIKU IKIFIKA.

    ReplyDelete
  23. pole sana dada ila kifochake kimesababishwa na kipogo cha police au??????? dada mai wewe si ndio ulimpeleka police waka mpiga..........

    ReplyDelete
  24. Pole sana my dear Mai, mungu akupe nguvu na kuwa faraja yako katika kipindi hiki kigumu,ni hali ngumu sana kufiwa na umpendae lakini faraja ya mungu ni ya ajabu. Pole sana Mai.
    Lina D

    ReplyDelete
  25. RIP.
    It is sad when you lost someone so young however we need to comes to terms with life and death as it is. We are in this world not forever we need to comes to terms with death, no matter how harsh it may sound, whether you are a believer or an Atheist ( non believer)when it comes it will spear no one. We also need to look deep about ourselves, our lifestyles, etc as doing so will help us more than mere saying that it was meant to happen!

    ReplyDelete
  26. RIP Puff,,, MUNGU AKUPUMZISHE PEMA PEPONI,, WE ALL PRAY 4 YOU!! TUKO NJIA MOJA

    WEWE UNON HAPO JUU ULIEULIZA JINA KAMILI HUJAONA KAKA MICHUZI KAANDIKA KABISA JINA LA MAREHEMU NA A.K.A YAKE??? NDO NINYI HAMSOMI HEADING MNAANZA COMMENT STRAIGHT AWAY....

    READ B4 COMMENTING PLIZ!!!

    ReplyDelete
  27. Kichwabuta Mchwampaka, OSLOSeptember 09, 2010

    ......Buriani mdogo wangu P.Diddy !

    ReplyDelete
  28. r.i.p. perfect.. kaka mithupu, naskia p diddy alipigwa na mapolisi na akawa na maumivu ya uti wa mgongo, is it true? na alikuwa under so much stress jana.. kama ni ukweli kaka michuzi tunaomba muiweke hii habari wazi.. sawa? huu mchezo wa raia kupigwa hovyo ipo siku utakomeshwa.. tunaomba ukweli wa chanzo cha hii habari kaka misupuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  29. Huyo Maimartha hastahili kupewa pole, kijana wa watu alitaka kumuoa yeye kila siku anamzulia vagi ona sasa kafariki kabla hawajafunga ndoa. Mara ya mwisho Mai alimtibua majuzi tu na kijana wa watu aliomba radhi..poleni Diamond Musica kwa msiba wa kiongozi wenu

    ReplyDelete
  30. nshimimana aka dumisaneSeptember 09, 2010

    Maimartha ni nani ivi!?

    samahanini kwa kuuliza.

    = = =
    Buffalo,
    New York

    ReplyDelete
  31. pole sana wote mliopatwa na msiba especially meimartha R.I.P Piddy

    ReplyDelete
  32. maskini duuh so sudden...may he rest in peace...mungu akujenge moyo wa ujasiri mai...kaka muhidin...aksante kwa taarifa hizi.

    nana mollel

    ReplyDelete
  33. mdau wa Buffalo NEw york

    Maimartha ni mtangazaji amarufu alianzia afro ebat EATV na sasa yupo TBC kama uliondoka muda mrefu bila shaka humfahamu. Yeye pia huwa MC kweney shuguli mbali mbali.

    ReplyDelete
  34. mdau wa buffalo ingia google andika tu jina lake utamuona picha za kumwaga, wafiwa poleni sana

    ReplyDelete
  35. RIP KAKA

    POLE NA HONGE MAI, NYIE MNAOJIITA SUPER STAAR WA BONGO SIWAELEWI KABISA, MARA UCHUMBA UNAVUNJIKA MARA UNARUDI. UNGEKUWA UNA MTOTO WA NDOA YAKO WAPI CHACHA? POLE CHOSTITO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...