Jumamosi September 11, 2010; FINEPRINTZ Entertainment inawakaribisha Watanzania wote kwenye Ufunguzi wa annual SOCCER TOURNAMENT(BONGO SOCCER FLAVA) Itakayofanyika

TERRELL MILL PARK
480 Terrell Mill Road Southeast
Marietta, GA 30067-5083

Kuanzia saa 4:00 Asubuhi ( 10:00 AM in the Morning) ,

siku ya September 11, 2010

Baina ya Timu zifuatazo:
*Watanzania wa Atlanta( The Mighty Tanzanite FC ) Vs Watanzania wa Alabama Time: 10:00 AM

*Watanzania wa Houston, Texas Vs Watanzania wa Washington D.C Time: 12:00PM

*Fainali ya kutafuta mshindi wa Soccer Tournament itafanyika Saa 9:00 Mchana (3:00 pm)

Katika Hammonds Park kwenye address ifuatayo:
705 Hammond Drive
Sandy Springs, GA 30328

Wote Mnakaribishwa!

Mshindi wa wa tournament atakabidhiwa kikombe mbele ya wapenzi wa BONGO FLAVA kwenye concert ya Professor Jay ambae atasindikizwa na Darda King, AJ Ubao na mwimbaji Justhell kutoka Kenya.

JC Event Hall
5775 Jimmy Carter Blvd
Norcross, Georgia 30071

Come one! Come all!

Lets celebrate this historic event!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Professor naona unakamua kama kawa unyamwezini.Heavy weight MC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...