
Na Mgaya Kingoba.
MAREKANI imesema kwamba Tanzania ni moja ya nchi inazozipigia mfano miongoni mwa nchi zinazoendelea, kwa uongozi bora na unaodumisha utawala bora na utawala wa sheria.Kwa mujibu wa Rais Jakaya Kikwete, Rais Barack Obama wa Marekani aliyasema hayo juzi wakati akihutubia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, nchini humo.
Rais Kikwete alisema wakati akihutubia mkutano mkubwa wa kampeni kwenye
Uwanja wa Barafu mjini Rujewa wilayani hapa katika Mkoa wa Mbeya, kuomba kura kwa wananchi wa wilaya hiyo. Alisema muda mfupi kabla ya kuhutubia maelfu ya wananchi uwanjani hapo, alizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Leonhadt, na kumuelezea jinsi Rais Obama alivyoimwagia sifa Tanzania katika hotuba yake UN.
“Kabla ya kupanda hapa jukwaani kuzungumza nanyi, mliniona nazungumza na simu…alikuwa Balozi wa Marekani, ananiuliza kama nimesikia hotuba ya Rais Obama jana usiku kwenye Umoja wa Mataifa,” alisema Rais Kikwete.“Nikamwambia niko huku nahangaika, nitasikia saa ngapi? Wakati mwingine niko hoi bin taaban hata kusikiliza redio au televisheni huna muda.“Ameniambia kuwa Rais Obama ameeleza misingi ya Marekani kusaidia nchi zinazoendelea, na mfano wake akatoa Tanzania.
Akasema nchi yetu inaongoza kwa kujali utawala bora, utawala wa sheria, kuheshimu NGO,s, na tunatawala vizuri,” Rais Kikwete aliwaeleza wananchi.
“Kama siyo mimi na akina Mwandosya, nani mwingine anayemsifu,” alisema Rais Kikwete akimtaja Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya, ambaye alikuwapo kwenye mkutano huo akiwa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kupitia Mkoa wa Mbeya.
Alisema kauli hizo za Marekani kuisifu Tanzania, hazitoi yeye, lakini kila anapofanya hivyo, baadhi ya watu huhoji kwani kila mara na Marekani.
“Nikisema sifa hizi zinazotolewa na Marekani, watu wanasema, ‘huyu naye na
Marekani kila siku.’ Wanasema wenyewe, siyo mimi,” alifafanua Rais Kikwete.
Marekani imekuwa mshirika mkubwa wa maendeleo kwa Tanzania tangu Rais Kikwete aingie madarakani miaka mitano iliyopita, ikitoa ufadhili mkubwa katika miradi mbalimbali ya sekta za elimu, afya, miundombinu na nishati.
Chini ya Shirika la Milllennium Challenge (MCC), Marekani itafadhili miradi ya
umeme katika mikoa sita nchini; itajenga barabara kadhaa ikiwemo ya Tunduma-Laela- Sumbawanga na hivi karibuni ilitoa vitabu 800,000 kwa ajili ya shule za
sekondari nchini hasa kwa masomo ya sayansi.
matunda ya JK hayo,wacha wenye kujidai hawaoni waone,jk piga kazi 2015 ukiondoka madarakani na uhakika utakuwa umeweka rekodiambayo hakuna rais wa tz ameweka kwa maendeleo.zito kabwe keshalisema hilo wazi kwa kigoma hakuna rais aloibadilisha kama wewe,2015 watakubali wengi tu.
ReplyDeleteTumia akili na wewe Marekani wanataka ayo madini ya nguvu za nyuklia basi!!!!!ata ukiwaambia waseme Tanzania hakuna bahari watasema....jiulize wewe apo uwiano uko vp tanzania katika ya mtu na hospitali, mtu na maji safi, mtu na umeme, mtu na idadi ya shule zinazofaulisha then iyo average tupe sisi tunaweza kukusifu achana na hao wanakubeza ili wapate nyuklia minerals!!!!
ReplyDeleteWewe michuzi sio tu unabandika habari ambazo hujazifanyia uhakiki SIo kweli kaisa Obama kwenye hotuba ya UN Tanzania haijatajwa hata kidogo isipokuwa KEnya ndio ilitajwa kwenye Hotuba na Obama kwamba imepiga hatua kwa kubadilisha KATIBa YA NCHI INAYOKWENDA NA DEMOCRASIA YA WANANCHI KATIKA KUONGOZA KATIKA MISINGI YA UTAWALA BORA na Marekani itasaidia nchi yoyote za Africa zinazozingatia utawala bora na Democrasia.Sasa Tanzania ingawa hatujapigana kama Kenya lakini bado tunatumia Katiba ya B4 uhuru ambayo haiendani na mazingira ya sasa isipokua kuaidisha CCM maana hawataki kubadilisha katiba.
ReplyDeletekwa maelezo zaidi nenda kwenye mtandao wa UN watch all the Obama speech to UN hakuna jina la Tanzania likitajwa
mdau Opulukwa
sio kweli Tanzania ilitajwa kwenye Speech Blog bhii inahitaji kuangalia news kabla hujapost. iliyotajwa ni Kenya imesifiwa kwa kubadilisha katiba yake ambao itasaidia kuelekea katika Utawala bora sio tanzania CCM wanafanya kila njia kutoruhusu Debate ya kubadilisha katiba maana weanajua ndio mwisho wao soma zaidi kuhusu umuhimu wa Tanzania kubadilisha katiba haraka.....WHAT TANZANIA GOVERNANCE SYSTEM NEED TO BE CHANGE???
ReplyDeleteIneffective Leadership and poor governance system to our Greater nation of Tanzania has cost us many implementation of development. Tanzania known as the Land of resources but our Central government failed us to put forward strategic management which will help their citizen to prosper to their resources we have in our Land.
I would like to talk about Government system we have in place right now is not working well to this 21st century.Our governance sytem still usind the 1977 laws. We need to overhaul our Government system which is not working and implement what is working in place. We need to change how the government work for the people, i will try to explain and suggest some changes which i believe will help in one way another to put light in this matter.
First, The Gov to be effective responsible to their Citizen Must have a separation of power between Ministers and Parliament because the system we have now Ministers hold both position so how this ministers they going to defend or be responsible to their contituents as the same time be answerable to the Gov? i hope all we agree they will defend the Gov to protect their interest to hold their seat, and we have many example happened to our country Ministers protecting their interest by defending the Gov.Thus why we need to reform our constitution of 1977 to improve our Gov effeciency to their citizen. One reason for separation of power is to improve effeciency and accountability in work.
Second, The president is the chairman of ruling party so u can ask yourself who's responsible to him?? there's Swahili word saying that " MGANGA HAJIGANGUI" the President is the one set policy for the party and his the one who set everything Gov does, so u Can see how how ineffective to manage leadership to citizen obviously there will be a Little challenge to put forward critical strategic development plan to our nation.
Third, District commission and Regional commission nominated by President this system have proved not effective this need to be changed DC and RC be voted by constituents which will be accountable to them not a President. Also we have many example to our country Dc and RC used their power ineffective to serve their constituents.For example, several times President transferring DC and RC to another location to improve effeciency which is not way to go.
The ruling party don't see urgent to change this policy because it works for them for their advantage but sadly to say not working to regular folks and by continuing with this system will not advance our country to economic prosperity just ending up for a few elite.
so folks i would like to invite anyone to join me in this discussion and find a effective way to help our greater nation of Tanzania to prosper. Every week i will post one agenda affecting Tanzania life to find a solution for the sake of our national development. Written by Amani opulukwa Blogger"
www.opulukwa.blogspot.com
Haya basi!!kama ya Obama hamtaki, at the begining of this week David Miliband (labour party MP) on SKY News alitoa mfano wa Tanzania kama mojawapo ya nchi maskini ambazo zimesaidiwa na kuweza "kusimama na miguu yake miwili" sababu moja wapo ikiwa ni uongozi bora na political stability.
ReplyDeleteMdau UK
Jamani Obama is not who we think he is. He has proven to be a failure and in 39 days he is going to lose the control of the senate and the house. All polls are indicating that he is on a uphill battle this coming election. He is pro abortion, pro gay and he deeply favors high taxes. Obama inherited a country with $4 trillion dollars in debt but he took it even further to $11 trillion dollars. He can blame Bush all he wants but he has spent more than Bush, actually almost quadrupled that. By all account social issues are not that we us Africans should embrace. His spending is out of control. Bush failed in so many accounts as well, he spent and opened more spending, but Obama quadrupled that. On November 2 Obama will become a lame duck president, "raisi kivuli" no more powers enumerated to his disposal. Ask yourself, if Obama was such a genius, " why has he lost all elections?" and he is about to lose a major election? I want to debate anyone on Michuzi. I am a new comer who focuses on world politics. I reside in the US, not a mbeba Box. Highly educated. Bring it to the podium.
ReplyDelete..Kenya wameendelea katika kipengele chao kimoja cha katiba, ila huwezi kudharau uhuru wa vyombo vya habari uliopo tanzania, kwa mfano...kwa nini hatujaribu kuona yaliyofanyika kwetu mazuri.?
ReplyDeleteHivi wewe Mdau UK,Sat Sep 25, 12:18:00 AM. kukaa kote U.k na exposure bado haijakusaidia makubwaa haya?
ReplyDeleteTumesaidiwa na sio viongozi wamefanya jitahada kujikwamua katika janga la umaskini.Raslimali zote za Tanzania na Uongozi ungekuwa mzuri basi tungeweza kujitegemea wenyewe na si misaada.eti Uongozi bora? hivi uoni kwamba uongozi ni mbovu? huh
Halafu I don't get it, why do you have to put'MDAU UK' Is it necessary?
Na wewe Anonymous of Sat Sep 25, 05:14:00PM You have defo. wrote sense but you bore n pissed me off big time on your conclusion part.If you not Mbeba Box, so what?.Hivi Do you think all 'Wabeba MaBox' are not highly educated and know how Politics go worldwide just as you?huh?.Grow up whoever you are cause I don't give a damn about your education and actually this is not the right place Mr/Mrs.Just air up your views and thats it.
ReplyDeleteUnayetaka debate nimesikia hoja zako, mtafute Mashaka u debate naye, akikataa kama alivyonikimbia mimi nijulishe ni debate na wewe.
ReplyDeleteWewe mponde Obama mimi nimtetee my home boy.
(US Blogger)