Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Umoja wa Viajana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete (katikati), akiwatambulisha Monica Mbega (kulia) na Davidi Mwakalebela baada ya kuwapatanisha na kuvunja makundi katika kikao cha Baraza la Vijana mjini Iringa jana.Monica ni mgombea ubunge Jimbo la Iringa mjini na Mwakalebela
alienguliwa kuwania nafasi hiyo. Picha na Richard Mwaikenda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mwakalebela inabidi ukazane kuwa mpole amasivyo unajua kitakachotokea au vipi?. Janja wewe

    ReplyDelete
  2. HAWA WATAPANISHWA MARA NGAPI NA WATU WANGAPI? MPAKA SASA HIVI TUMESOMA NA KUSIKIA WAPATANISHI WAFUATAO- MALECELA, BENO MALISA, DR BILAL, MRISHO KIKWETE, RIDHIWANI KIKWETE.

    ReplyDelete
  3. MTU KAMA HATAKIWI NA WAPIGA KURA HATAKIWI TU. WAACHIENI WANANCHI WAPIGA KURA WENYEWE

    ReplyDelete
  4. MBONA CCM UNAANGAIKA SANA NA IRINGA. MBEGA MMEMPITISHA WENYEWE, SASA MNAONA WANANCHI HAWAMTAKI MNATUMIA MBINU NA GHARAMA KIBAO ILI APATE KURA.

    ReplyDelete
  5. Naomba uniombe kwa baba! Sitotoa tena rusha. Mungu nisaidie

    ReplyDelete
  6. Wajinga ndio waliwao...

    ReplyDelete
  7. Mama Mia!!!! Ina maana baba alishindwa au???? I cant believe this..

    Mzozaji

    ReplyDelete
  8. michuzi kulia kuna watu watatu umekusudia yupi?

    ReplyDelete
  9. Huu ni Upumbavu tuu,
    Za mwizi na arobaini.
    Michuzi na Timu yako angalieni sana.
    Maana inaonekana wazi kabisa kwamba mnapendelea CCM wakati blogu yako unaiita blog ya Jamii.
    Hamna kosa kwa wewe kuwa na mapenzi binafsi na mgombea fulani au Chama chochote, hiyo ni haki yenu kama watanzania.
    Mimi kinachonikera ni kuwadanganya watanzania. Weka mambo bayana tujue kuwa wewe na CCM ni damu damu.
    Comments nyingi zinazowaponda CCM unazibana kwa nini?

    Mkereketwa Morogoro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...