alienguliwa kuwania nafasi hiyo. Picha na Richard Mwaikenda.
alienguliwa kuwania nafasi hiyo. Picha na Richard Mwaikenda.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwakalebela inabidi ukazane kuwa mpole amasivyo unajua kitakachotokea au vipi?. Janja wewe
ReplyDeleteHAWA WATAPANISHWA MARA NGAPI NA WATU WANGAPI? MPAKA SASA HIVI TUMESOMA NA KUSIKIA WAPATANISHI WAFUATAO- MALECELA, BENO MALISA, DR BILAL, MRISHO KIKWETE, RIDHIWANI KIKWETE.
ReplyDeleteMTU KAMA HATAKIWI NA WAPIGA KURA HATAKIWI TU. WAACHIENI WANANCHI WAPIGA KURA WENYEWE
ReplyDeleteMBONA CCM UNAANGAIKA SANA NA IRINGA. MBEGA MMEMPITISHA WENYEWE, SASA MNAONA WANANCHI HAWAMTAKI MNATUMIA MBINU NA GHARAMA KIBAO ILI APATE KURA.
ReplyDeleteNaomba uniombe kwa baba! Sitotoa tena rusha. Mungu nisaidie
ReplyDeleteWajinga ndio waliwao...
ReplyDeleteMama Mia!!!! Ina maana baba alishindwa au???? I cant believe this..
ReplyDeleteMzozaji
michuzi kulia kuna watu watatu umekusudia yupi?
ReplyDeleteHuu ni Upumbavu tuu,
ReplyDeleteZa mwizi na arobaini.
Michuzi na Timu yako angalieni sana.
Maana inaonekana wazi kabisa kwamba mnapendelea CCM wakati blogu yako unaiita blog ya Jamii.
Hamna kosa kwa wewe kuwa na mapenzi binafsi na mgombea fulani au Chama chochote, hiyo ni haki yenu kama watanzania.
Mimi kinachonikera ni kuwadanganya watanzania. Weka mambo bayana tujue kuwa wewe na CCM ni damu damu.
Comments nyingi zinazowaponda CCM unazibana kwa nini?
Mkereketwa Morogoro.