Home
Unlabelled
waziri mkuu amwakilisha JK nchini rwanda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uwanja huu wandege una majani mazuri!! halafu watu wanakaa kumuaga mgeni wao kama kwenye uwanja wa mpira!! kweli rwanda wameendelea, hata nchi zilizotangulia kuendelea hawana uwanja kama huu.
ReplyDeleteAnka,hii picha ya chini ni uwanja wa ndege kweli! au umetupiga changa la macho!!
ReplyDeletehio picha ya chini ni uwanja wa nesho ndani ya jiji la kigali amahoro unaitwa hapo mzee kijana alikua anaaapishwa kuongoza nchi kwa miaka misaba ijayo.EEH MUNGU endelea kumuongoza mzee wetu na baba wa taifa letu rwanda aendelee kuchapa kazi kwa bidii na kutuletea maendeleo kibao tupo nyuma ya mkulu wetu tunakupenda na kukusupporti mheshimiwa.MUNGU akubaliki saana kwa majukumu wananchi walokupa miaka misaba ijayo.
ReplyDeletemdau kigali makazi boksini kusaka chake
huo ni uwanja wa neshno wee ankali tulikuwepo hapo alaaa,,,usipotoshe watu
ReplyDeletealiapishwa uyo rais mwenye akili ya maendeleo na nchi yao inapaa juu kishenzy....
God bless Rwanda