Mama wa Mitindo Asia Idarous katika show yake ya New Jersey
Mh Balozi Mwanaidi Sinare Maajar na Mumewe Bw.Shariff Hassan Maajar


UNAKARIBISHWA KWENYE
UZINDUZI WA BLOG YA VIJIMAMBO
OCTOBER 23,2010
THE MIRAGE HALL
1401 UNIVERSITY BLVD,
HYATTSVILLE,MD,20783

UZINDUZI UTAANZA SAA MOJA KAMILI(7:00PM)
TAFADHALI ZINGATIA MUDA TUWALAKI WAGENI RASMI.

RATIBA KAMILI
7:00PM...WAGENI NDANI NA NJE YA STATE PAMOJA NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA,NC,PA,KS,NY NA MA,KUINGIA NDANI YA UKUMBI.

-WAGENI RASMI KUWASILI
-CHAKULA
-MBONGO KUIMBA GOSPEL
-VUNJA MBAVU NA COMEDY MBONGO
-WACHEZAJI STARS KUKABIDHI KOMBE
-AJ UBAO NA NYIMBO YAKE MPYA
-ONESHO LA MITINDO NA ASIA IDAROUS
-WAFANYABISHARA WABONGO WADHAMINI

WA VIJIMAMBO KUELEZEA BISHARA ZAO
-MPWA KUSEMA MACHACHE NA KUWAKARIBISHA WAGENI RASMI
-MH BALOZI KUONGEA NA WATANZANIA
-WAGENI RASMI KUFUNGUA RHUMBA
-MUZIKI KWA WOTE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana. Ijapokuwa sitahudhuria show hiyo (niko Bongo likizo), natambua kuwa mara nyingi tukiwa na hafla kama hizo Obamaland zinasaidia kutujumuisha na kupunguza makali ya homa ya nyumbani "home-sickness". Big up Auntie Asia.

    ReplyDelete
  2. Safi sana. Ijapokuwa sitahudhuria show hiyo (niko Bongo likizo), natambua kuwa mara nyingi tukiwa na hafla kama hizo Obamaland zinasaidia kutujumuisha na kupunguza makali ya homa ya nyumbani "home-sickness". Big up Auntie Asia.

    ReplyDelete
  3. MAMA MAAJAR ASANTE KWA MAMBO MENGI UNAYOFANYA, UNATUPA IMANI KUWA NA MWELEKEO WA MAISHA. MAMA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...