

UZINDUZI WA BLOG YA VIJIMAMBO
OCTOBER 23,2010
THE MIRAGE HALL
1401 UNIVERSITY BLVD,
HYATTSVILLE,MD,20783
UZINDUZI UTAANZA SAA MOJA KAMILI(7:00PM)
THE MIRAGE HALL
1401 UNIVERSITY BLVD,
HYATTSVILLE,MD,20783
UZINDUZI UTAANZA SAA MOJA KAMILI(7:00PM)
TAFADHALI ZINGATIA MUDA TUWALAKI WAGENI RASMI.
RATIBA KAMILI
7:00PM...WAGENI NDANI NA NJE YA STATE PAMOJA NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA,NC,PA,KS,NY NA MA,KUINGIA NDANI YA UKUMBI.
-WAGENI RASMI KUWASILI
-CHAKULA
-MBONGO KUIMBA GOSPEL
-VUNJA MBAVU NA COMEDY MBONGO
-WACHEZAJI STARS KUKABIDHI KOMBE
-AJ UBAO NA NYIMBO YAKE MPYA
-ONESHO LA MITINDO NA ASIA IDAROUS
-WAFANYABISHARA WABONGO WADHAMINI
RATIBA KAMILI
7:00PM...WAGENI NDANI NA NJE YA STATE PAMOJA NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA,NC,PA,KS,NY NA MA,KUINGIA NDANI YA UKUMBI.
-WAGENI RASMI KUWASILI
-CHAKULA
-MBONGO KUIMBA GOSPEL
-VUNJA MBAVU NA COMEDY MBONGO
-WACHEZAJI STARS KUKABIDHI KOMBE
-AJ UBAO NA NYIMBO YAKE MPYA
-ONESHO LA MITINDO NA ASIA IDAROUS
-WAFANYABISHARA WABONGO WADHAMINI
WA VIJIMAMBO KUELEZEA BISHARA ZAO
-MPWA KUSEMA MACHACHE NA KUWAKARIBISHA WAGENI RASMI
-MH BALOZI KUONGEA NA WATANZANIA
-WAGENI RASMI KUFUNGUA RHUMBA
-MUZIKI KWA WOTE
-MPWA KUSEMA MACHACHE NA KUWAKARIBISHA WAGENI RASMI
-MH BALOZI KUONGEA NA WATANZANIA
-WAGENI RASMI KUFUNGUA RHUMBA
-MUZIKI KWA WOTE
Safi sana. Ijapokuwa sitahudhuria show hiyo (niko Bongo likizo), natambua kuwa mara nyingi tukiwa na hafla kama hizo Obamaland zinasaidia kutujumuisha na kupunguza makali ya homa ya nyumbani "home-sickness". Big up Auntie Asia.
ReplyDeleteSafi sana. Ijapokuwa sitahudhuria show hiyo (niko Bongo likizo), natambua kuwa mara nyingi tukiwa na hafla kama hizo Obamaland zinasaidia kutujumuisha na kupunguza makali ya homa ya nyumbani "home-sickness". Big up Auntie Asia.
ReplyDeleteMAMA MAAJAR ASANTE KWA MAMBO MENGI UNAYOFANYA, UNATUPA IMANI KUWA NA MWELEKEO WA MAISHA. MAMA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO.
ReplyDelete