Home
Unlabelled
dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi naona hizo barabara wangeziwahi ziwe pana kabla hakujageuka kuwa Dar...Miaka kumi ijayo basi kutakua kama dar vile na vibarabara vyake vyemabamba. Umeona wenzetu barababara zao zilijengwa miaka ya 1900 na ziko hivi ...sisi tunajenga leo tubarabara huto tudogo hivyo...
ReplyDeleteAma kwa hakika jiji limekamilika, sishangai kulifananisha na jiji la District of Columbia
ReplyDeleteMJI MKUU jina tu, hakuna juhudi za maksudi zilizofanyika ili kulifanya angalau kuwa jiji. Mji mkuu wa kisiasa tu, watanzania bwana, we acha tu, maneno meengi lakini vitendo kidogo. Watu wanafaidika toka mwaka sitini na ngapi sijui kwa jina la kuendeleza makao makuu mpaka leo!!! Inauma sana kwa kweli!!! Nchi hii kama wapo wakereketwa haswa na yao basi ni wachache kweli.
ReplyDeleteN kweli kama serikali imeshindwa kuhamia Dodoma iseme tu wala isione aibu kuwa imeshindwa kuhamia Dodoma! Kuhamia Dodoma sio kipaumbele bali kampeni za kuingia Ikulu na kushika madaraka ndicho kipaumbele! Makao makuu gani yanajengwa karibu sasa nusu karne!! Serikali ihamie Dodoma ipungue hata foleni ya magari Dar.
ReplyDeletekama kawaida mipango miji yetu bado ipo 1900. Mji mkubwa una barabara mbili ambazo hata pikipiki zinashindwa kupishana.
ReplyDeleteSisi tulio wazee wa siku, tunajua kuwa Dodoma ilijengwa kwa ajili ya baiskeli!
ReplyDeleteTatizo la watanzania ndio hilo, Mji ni miundombinu na plans za maana sio tu majumba ya vigae na barabara za 'baiskeli'.. Inabidi serikali iongeze juhudi za kuboresha miundombinu iendane na hadhi ya Dodoma kuwa mji mkuu.
ReplyDeleteAfterall hayo ndio majumba ya pesa zenu za EPA.
Mimi
kwa nini usituletee maeneo ya majengo ambapo walalahoi wanaishi, dodoma inapendwa na wale waliozaliwa hapo, huu mji unapendeza sana, ukitazama reli ya kati inapasua kati-kati ya mji hapa wametoka wanariadha maarufu kama vile Sunday manara,Kassim manara,Lila shomari,mohamed omar nyange,Hassan gobos,Ali mwanoga,Mohamed saleh(rip) Omar amani,Hussein gobos,Osman matata, bila kuwasahau kimolos family n.k. mdau usa
ReplyDelete