Home
Unlabelled
dr. slaa katika mdaharo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa masikini ya Mungu hajui hata tatizo la Watanzania kutokujua nini tatizo la Ki-elimu Tanzania na hususan kutoa mfano wa lugha ya Kifaransa kwa nchi za jirani!!Je kiwango cha elimu nchi hizo uko vipi?
ReplyDeleteKuhusu suala la udini, Uwaji wako wa Upadrihauna mahusiano yoyote na tuhuma ya Udini naona analikwepa swali kuhusu kuwepo kwa Tuhuma za udini.Haya yanaongelewa na hata watu wasiokuwa waisilamu juu yake.Hakuwa na tuhuma hizi kwa kipindi chote alivyokuwa Mbunge mbona haya mambo yanaibuka sasa?Hili linatuonyesha kwa uwazi kuwa Bwana Slaa ni Mdini
Msikilize kwa kirefu Dr. Slaa Ph.D akiongea ktk mdahalo uliorushwa na kituo cha ITV siku ya jumamosi tarehe 23/10/2010 ktk mfumo wa audio ulio na urefu wa dakika 85( yaani saa 1 na dakika 25)kupitia linki: http://www.chirbit.com/mambo
ReplyDeleteSAFI SANA MPIGANAJI WANGI SLAA WE UNAFAA TUNATAKA MSETO KAMA SIO URAIS
ReplyDeleteAmepata maksi asilimia 93, sasa kwa kuwa wengine wanakimbia mtihani ni vigumu kulinganisha!!
ReplyDeleteWenye macho hawaambiwi tazama!!
Una chochote Slaa, njaa na umarufu ndio vitu unavyopigania. Unataka tukupe nchi ili ujifunze kuendesha,nchi sio baskeli!!!
ReplyDelete1.Umeshindwa kunihakikishia kuwa hujatumia makanisa katika mampeni zako
2. Mgombea mwenza vipi?
3. Huyo mwenyekiti ndio kabisa, chali
4. Kawatogoze hao wake za watu, mimi kura yangu hupati n'go.
5. Kupasua mambo ya ufisadi ndio uwezo wako, na ndio unaishia hapo.
Kina kitu muulize ata so and so..wewe ungekua polisi au mpelelezaji mzuri, lakini kama Raisi hufaii...mtaji wako ni ufisadi x2, baada ya hapo huna unalolijua..eti mimi mwana saikologia, toweni udini na ukabila.
ReplyDeleteUpadri umekushinda, leo unataka kua raisi??
WEWE Sun Oct 24, 06:49:00 PM USIPENDE KUDANDIA VITU USIVYOVIELEWA, MUDA ULIOTUMIA KUANDIKA MAONI YAKO UNGEWEZA KUUTUMIA KUCHEZA KAMARI ZILIZOKITHIRI KILA ENEO LA JIJI. BUSARA ZAKO ZINGEONEKANA ENDAPO UNGETUELEZA SIKU, TAREHE NA MKUTANO WAKE WA KAMPENI ALIOZUNGUMZIA UDINI, UPADRI WAKE HAUMZUII KUPIGA KURA WALA KUGOMBEA URAISI. USIJARIBU KUIPINDISHA KATIBA YA NCHI.
ReplyDeleteKila mwenye akili walau minimum anaelewa kuwa annon wa kwanza ni CCM
ReplyDeleteHUYU ANONY WA KWANZA ANA MATATIZO YA UTINDIO WA UBONGO SI BURE. MAANA HATA ASIYEENDA SHULE KABISA HAWEZI KUFILIA HIVYO.
ReplyDeleteYaani Slaa ni kiboko, mtu mzima unongopa kwa saa moja nzima na ushehe juu bila ya aibu macho makavu. Ehh jamani tumuogope mwenyenzi Mungu, loo hata aibu. Hawa tuwaogope kama ukoma, wanataka kutugawa watanzania kwa udini, uchu umemjaa wa kwenda Ikulu hamuogopi hata Mungu anasema uongo hivi hivi. Mwl katuambia Ikulu nipatakatifu, kaushindwa utakatifu wa kanisa ataweza Ikulu?
ReplyDeleteHuyu wakumuogopa na jipya hana.
Wewe mtoa maoni wa kwanza hujaeleweka unataka nini hasa. Unapomsikiliza mtu unatakiwa kuelewa sentensi nzima ili uweze kupata ujumbe mzima. Kwa mfano huwezi kusikia neno 'kifaransa' ukakurupuka tu na kusema tanzania haiongei kifaransa kwa nini anaongelea mambo ya kifaransa hapa. Hata swala la udini! ni matendo au mataushi gani aliyowahi kuyatoa yanayoonyesha kuwa waislamu anawadharau? Kumbuka katika ushindani vijembe vingi hutafutwa ili kuwafanya watu wasiwe na imani na mpinzani wake. Unataka kutuambia ni kiongozi gani anayetakiwa Tanzania? Yule asiyekuwa na dini yoyote? kama ni hivyo mbona hata wagombea wengine wana dini zao na tena wengine tumewaona wakiwa madarakani wakifanya viashiria vya udini?
ReplyDeleteNachoomba binafsi wapiga kura waangalie mtu ambaye anaweza kuleta mabadiliko kwa kuwa hali iliyopo kwa sasa siyo ile amayo mtanzania yeyote anataka tuishi. Kuna mambo mengi yakuangalia siyo swali la kushabikia tu eti unataka atawale mtu ambaye unaimani ya kufanana naye wakati wewe unatia huruma maisha unayoishi, au kama wewe unamanufaa na utawala wa mtu fulani, lakini watanzania wanakuomba uangalie kwa mtazamo wa kitaifa zaidi. Kumbuka uozo uliopo katika nchi yetu haujaja wakati Kikwete akiwa madarakani bali umeanza nyuma hata kipindi cha awamu ya kwanza haijatoka madarakani. Tunachotaka watanzania ni mtu aliye na uwezo wa kukemea mabaya na kuyashughulikia na wala siyo kumkomoa mtu. Kikwete alikuwa na mawazo mazuri lakini kosa kubwa lililomharibia kila kitu ni kujuana. Kama anadhamira ya kweli ya kuyatoa haya ya kujuana na kutumia watalaamu mablimbali bila kujali ni mtoto wa nani kwa kuwa hao watakuwa na hata na woga wa kupoteza kazi zao watafanya kazi.
Ni maoni binafsi.
N mimi Mpiga kura asilia.
Ano. number moja huna point yoyote ya kutushawishi sisi wasomaji kuwa Slaa ni mdini. Sisi tunajua suala hili hutumiwa na ccm kama mbinu ya kudhoofisha upinzani na kama hujui unauliza badala ya kukurumka na kusema Slaa mdini. Siku za nyumba CUF ilipokuwa na nguvu za kuitisha ccm poropaganda hii ndo iliyotumika kukidhoofisha chama hicho hapa bara kwamba cuf chama cha kiislam. Tanzania hatuna tatizo la udini na kama una hoja leta tukusaidie kuchambua sio kusema kwa kuwa umesikia watu wanasema. Sisi watanzania hatutamchagua mtu yeyote kwa kigezo cha dini bali kwa uwezo binafsi wa kufanya kazi
ReplyDeleteNawasilisha
Nawasil
RAIS WETU KUANZIA WIKI IJAYO.....
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza hapo juu nani asiyejua kwamba wewe ni CCM? Hutudanganyi chochote.
ReplyDeletekama kanisa alishindwa uraisi wa nini dr slaa jenga hospitali mbili tatu then omba uraisi
ReplyDeleteKitu kinachonifurahisha hapa kwa Michuzi hakujaingiliwa na watu wanaoshabikia kiongozi hata kama amekosea. Tofauti na JF sasa imejaa watu wasiotaka kusikia Slaa amewekwa kikaangoni. Ningependa kujua zaidi kutoka kwa Slaa
ReplyDelete1.) Ni kweli hakujua yule ni mke wa mtu ? Sasa anajua ni mke wa mtu amefanya nini?? Ameomba radhi??
2.) Elimu bure ? Ameshindwa kuelezea mchakato mzima wa elimu ya bure. Kwa wataalmu wa mambo ya elimu na ulimwengu wa sasa ameshindwa kuzungumzia challenges za kuwa na quality education free. Hata hao donors ambao wanatupa misaada, free education is not a matter of 100 days.
3.) Uwezo wake na wanaomzunguka unaonyesha mapungufu katika nyanja za Elimu, afya, uchumi,Ulizi nk. Anazungumzia mambo juu juu..
4.) Ameshindwa kujiweka kando na shutuma za kutumia udini na makanisa katika kampeni zake. Ameshindwa kutoa msimamo wake na vyombo vya dini katika mambo ya siasa.
5.) Amekua akiropoka mambo ambayo yanaonyesha baadhi ya mapungufu yake. Ni kweli 1/2 ya usalama wa taifa wanaripoti kwake ? Yeye kama nani ? Haoni kuwa hilo ni tatizo la ulizi na usalama ??
6.)Ameshindwa kutoa ushahidi kuwa yeye alisafishwa na Vatican?
7.) Ameingia mkenge na kuonyesha udini wake pale alipojaribu kuonyesha kuwa yeye sio mdini bali CCM ndio wadini. Tena, haya ni mambo ya kuropoka
8.) Anasema elimu ya kidato cha nne haitoshi, hapo ninakubaliana naye. Je Elimu ya Mbowe imekaa vipi??
9.) Anajua uwezo mdogo na mapungufu mengi ya chadema, kwa hiyo amekuja na slogan chagua mtu sio chama...hahaha Ina maana mtu/Raisi ni zaidi ya chama ? Hiki ni kichekesho, hiyo nafasi ya kugombea amepewa na chama. Mgombea na chama vinakwenda pamoja, excuse me but even a fool knows that!!
10.) Aliyekuwa anamuuliza maswali Slaa, alikosea aliposema kuwa Slaa he's under attack kwa sababu amepiga vita ufisadi. Ndio Slaa amepiga vita ufisadi kama wengi waliofanya hivyo, lakini hiyo sio ticket kwamba he is now on a special stage...
Sasa wewe Slaa unalalamika nini kuwa JK ametumia mabango. Huo ni uwezo wa CCM kama chama na ndio kampeni strategy za CCM, mind your own business Slaa. Mbona haukumuliza Mbowe alipokodisha helicopter kufanya kampeni miaka ya nyuma ? Mbona na wewe badala ya kutumia pesa kufanya kampeni, usijenge shule? Hivi unafikiri watanzania wote ni mbumbumbu kama mwenyekiti wako??
ReplyDeleteMfa maji haachi kutapatapa waswahili wamesema...huyu babu hii ndo karata yake yamwisho katika maisha amejaribu vingi na imeonyesha ni total failure ..He is a big fat liar & looser.. ameshindwa kwa Mungu (upadri) ..ameshindwa kuendesha familia yake mwisho kaishia kuiba wake za watu..na sasa siasa pia imemshinda.
ReplyDeleteHuu ndo mwaka wa mwisho hatoonekana tena katika ulingo wa siasa namuonea huruma sana...sababu sasa hivi ana miaka 62 na nadhani ujana wake ameutumia vibaya maana anaonekana kibabu cha miaka 90..uchaguzi ujao atakuwa na miaka 67 hawezi kugombea tena hata udiwani.
History itamkumbuka kama ni mtu ambaye alitaka kuwa vyote hivyo he ended up with nothing.
Jamani tujifunze kuwa na focus/vision in life na kama tunampango wa kuwa viongozi tusisubiri kukurupuka kama Mh. Dr. Silaa. Tanzania inahitaji viongozi na sio opportunist kama haka ka jamaa.
Mfuasi.
Chaga Development Manifesto (CHADEMA)
Kama huyo ni CCM; ninyi ni Chadema!
ReplyDeleteHakuna ubaya wowote. Wote ni mashabiki wa vyama vya siasa. Period!