Home
Unlabelled
JK atinga Njinjo, Liwale, Luangwa na Nachingwea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwanza nampa pole na kumuonea huruma bwana Mbunda. Hiyo ni kazi ya mikono ya Muumba aka Mungu.
ReplyDeleteNapenda kutoa ushauri hapa kwa Kikwete na viongozi wengine.
Nafikiri katika kipindi hiki cha kampeni Michuzi umepost picha zaida ya mbili zikimwonyesha Kikwete anakiongoe na ndugu zetu walemavu. JK hana haja ya kusikiliza matatito ya kila mlemavu mmoja mmoja.
Kunatakiwa kuwe na sera imara ya kuangalia masilahi ya watu walemavu. Nchi hii ina walemavu wengi sana na sio wote wataweza kupata nafasi ya kuonana na rais wa nchi ili wamweeleze shida zao binafsi. Walemavu wanatikwa wawe na sera yao ambayo itaeleza jinsi ya kuwasaidia ili kuwapunguzia hali ngumu ya maisha.
Nafurah kuwa mmoja kati ya waliokuwepo. Ni chachu kubwa na fikra mpya kwa kizazi hiki kilicho njia panda. Hongera
ReplyDeleteHii kampeni inaenda kwa mtindo wa kuwa mtu wa watu. Bush junior aliingia Ikulu kwa gia hiyo hiyo.
ReplyDeleteMichuzi kama reporter hana kosa. Kama watu wanatumia kampeni kufanya sanaa na kuwabimiza wenzao mikenge yeye afanye nini? Sera ya taifa letu ni wahadae wakupe kura ule. Sioni haja ya kumsakama Michuzi ambaye naye anapata mradi wake kwa usanii huo huo. Usanii kuanzia juu hadi chini. Kosa la ankal hapa liko wapi?
ReplyDeleteFull usanii kwa kwenda mbele kama kawaida....
ReplyDelete