Baadhi ya Wahitimu wa Shahada ya Uzamili (waliovaa majoho ya blue bahari) wa fani mbalimbali katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Mshereheshaji ( hayupo pichani) wakati wa mahafali yao iliyofanyika jumamosi katika viwanja vya chuo hicho vilivyopo makao makuu mapya wilayani Kibaha.( Picha na Concilia Niyibitanga).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Baba Mdogo Mussa Juma Varisanga Hongera sana. Mafanikio yako ni yetu na Taifa kwa ujumla.

    Hongera sana.

    ReplyDelete
  2. Nakuona kaka Musa hapo. Hongera sana Kiongozi.

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Kuna Vijana wamesweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo.
    Walikuwa wamevalia suruali aina ya Jeans wakiwa wamezifunga kwa mikanda chini ya makalio katika mtindo uitwao “kata k” huku nguo za ndani zikionekana hadharani. Hili liwe fundisho kwa Vijana wote mnaopenda kuiga mambo ya kigeni yasio maadili ya Utamaduni wetu

    ReplyDelete
  4. Mbona hawa ndugu wanaonekana wamechoka sana,yani hata tabasamu hakuna.

    ReplyDelete
  5. Hongera Bro Mussa, Nakumbuka tulivyosota pamoja na PSPA wakati wa Undergraduate. Wewe ni mpigananji na mjanja pia. Hongera kwa mafanikio uliyofikia. Nilitaka kusoma MA hapo Open ila system haikuwa supportive nikaenda Chuo chengine.
    Hongereni sana wahitimu wote, mujiamini sana maana ukimaliza Open University kwa kujituma, MA ni kama kumsukuma mlevi vile katika vyo vya Ughaibuni (my own experience)
    Mdau
    Zenj

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...