Baadhi ya Wahitimu wa Shahada ya Uzamili (waliovaa majoho ya blue bahari) wa fani mbalimbali katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Mshereheshaji ( hayupo pichani) wakati wa mahafali yao iliyofanyika jumamosi katika viwanja vya chuo hicho vilivyopo makao makuu mapya wilayani Kibaha.( Picha na Concilia Niyibitanga).

Baba Mdogo Mussa Juma Varisanga Hongera sana. Mafanikio yako ni yetu na Taifa kwa ujumla.
ReplyDeleteHongera sana.
Nakuona kaka Musa hapo. Hongera sana Kiongozi.
ReplyDeleteMdau
Kuna Vijana wamesweka rumande kwa kuvaa suruali mlegezo.
ReplyDeleteWalikuwa wamevalia suruali aina ya Jeans wakiwa wamezifunga kwa mikanda chini ya makalio katika mtindo uitwao “kata k” huku nguo za ndani zikionekana hadharani. Hili liwe fundisho kwa Vijana wote mnaopenda kuiga mambo ya kigeni yasio maadili ya Utamaduni wetu
Mbona hawa ndugu wanaonekana wamechoka sana,yani hata tabasamu hakuna.
ReplyDeleteHongera Bro Mussa, Nakumbuka tulivyosota pamoja na PSPA wakati wa Undergraduate. Wewe ni mpigananji na mjanja pia. Hongera kwa mafanikio uliyofikia. Nilitaka kusoma MA hapo Open ila system haikuwa supportive nikaenda Chuo chengine.
ReplyDeleteHongereni sana wahitimu wote, mujiamini sana maana ukimaliza Open University kwa kujituma, MA ni kama kumsukuma mlevi vile katika vyo vya Ughaibuni (my own experience)
Mdau
Zenj