Home
Unlabelled
nyomi ya JK mwembe yanga jijini dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi heshimu profesional yako, kuwa fair, post na za slaa, lipumba pia.
ReplyDeleteAnzisha blog yako, kama unapenda!
ReplyDeleteKwani hili ni gazeti au ni blog...blog ni persona, subjective haina cha objectivity...ingawa inawez kuwa na habari za uhakika.
Tofauti ya "news " na "commentary" unazifahamu?
Blog sio ya "news" (haina cha mhariri) ni ya "personal commentaries, kama za kwako!
Sizani kama ni lazima Michuzi kupost za Slaa na Lipumba, nazani ni utashi tu wa mtu, maana kuna kitu inaitwa JAMII FORUM, nazani si ya jamii isipokuwa ya kundi la watu wa Chadema, maana huweiz kukuta kitu chema cha CCM wala CUF, sasa huo ujamii unatoka wapi, mwenye nayo anahisa na Chadema.
ReplyDeleteNazani pia Michuzi ana hisa na CCM.
anzisha yako uwe fair kwani lazima? Lmao
ReplyDeleteSimjibii Michuzi, but wewe mtoa maoni hiyo siyo kazi ya Michuzi. Ni kazi ya Afisa habari or Publicity Officer chama husika. Kama wa CCM kapeleka kwenye blog zitolewe kwanini hao wa Slaa na Lipumba nao wasipeleke? Nani kawazuia. Tusibebeshe watu majukumu yasiyo yao.
ReplyDeletewanasema eti thii thii em inakodisha magari kupeleka watu kwenye mikutano. Jamani, kwa umati huo si daladala zote zingekuwa ziko mwembe yanga??? Acheni kuota, ikulu hamtaiona -- AMKENI!
ReplyDeleteHe he siku inavyokaribia, kyadema wanazidi ku-panick na kutukana ovyo. WanaCCM tuwanyamazishe hao ma-haters wa kyadema 31/10/2010!!!
ReplyDelete