Home
Unlabelled
ohooooo...nini tena???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
When you gotta, you gotta go! Picha nzuri!
ReplyDeletemaisha bora kwa kila mtanzania
ReplyDeleteDuh! Salaaahe! Haya Michuzi halahala tahadhari na nyoka humo asije kukurupusha pasipo kumaliza haja na suruali imekuzonga miguuni:-( Navimanya sana vyoo vya manyasi na mironge kwa nyoka:-) Japo raha zake ni kuwa 'unashusha' huku unapata hewa saaafi mwananana:-)
ReplyDeletehahahahahaha!!!!
ReplyDeleteumenikumbusha kijijini kwetu
ReplyDeletekaka michu mambo niaje?kuna taarifa mpya imebidi nikurushie hapa Iringa tumeshuhuudia ajali mbaya sana ambayo imesababisha msanii wa kizazi kipya kuvunjika mguu msanii huyo ni SQUIZER
ReplyDeleteNataka kujua Ankal hapo ni wapi kwenye hiyo paspoti size.
ReplyDeleteNa ulikuwa unananihii au una nanihii?
Duuuh! Kaka hiyo imenikumbusha miaka ya tisini ndiyo kwanza nimeanza kazi ya uandishi nikitokea DTV kwenda RTD. Nikatumwa kwenda kuandika habari za mwenge uliokuwa ukikimbizwa mkoa wa Pwani. Basi mzee kwa mara ya kwanza niliichukua snepu ya passport size hadi leo ninayo hapa Ughaibuni. Nashukuru kwa kunikumbusha fani ktk mazingira ya kwetu. Nimeifurahia hiyo.Wasalaam mdau wa G kubwa ya jamii.
ReplyDeleteKwetu shwari tu mjomba,si ndio maisha bora kwa kila mtanzania haya.
ReplyDeleteahaahahah i love it safiiii sana
ReplyDeletena hiyo ina unafuu maana zipo ambazo pembeni hakuna nyumba ya bati nzuri kama hiyo. hao hapo wavivu tu kujenga choo safi ila kuna maeneo ambayo kuona tu I mean kuona nyumba ya bati you have to walk long distance men just to see one. miaka 50 hiyo baada ya uhuru.
ReplyDeleteMdau wa 09:41:00
ReplyDeleteNakuunga mkono maana haiwezekani ankal awe anakata gogo akiwa amesimama,hapo na wasiwasi alikuwa anananihiiii !!!
hehehehe,uwiiii mbavu zangu......
We ankala angalie using'atwe na nyoka ustawi wa jamii nyasi na nyoka haviachani bwana
ReplyDeleteAisee chunga nyoka huko. Kuna jamaa kule Mererani Arusha aliwahi kung'atwa kende zake wakati akipuu kwenye choo kama hicho. CAREFUL
ReplyDeleteHii safi sana huna haja ya bathroom ventilator hapa.
ReplyDeleteSijawaelewa wadau,kunanihii ndio kufanya nini?au ndio kupiga MastaB***?Kama ndio hivyo huyu anko hadi kampeni zeshe atakuwa amepinda mgongo.
ReplyDeleteankal una mambo kweli!!
ReplyDeleteCCM oyee.
(US Blogger)
Mjomba unanikumba sha mbali sana. Tulijenga sana hivyo vyoo mashuleni na nyumbani pia. Ndoo maana huwezi sikia kuna kipindupindu vijijini. Adui mkubwa ilikuwa kimbunga na omba usiwe unaenda haja namba 2 na kimbunga kikukuta hujamalina ujajutia.
ReplyDeleteUkweli shida ndoo njia maendeleo. Tulichoka kukata nyasi na kuamua fyatua tofali. Kweli tumetoka mbali.
Muhigo.
Je hizo nyasi ndio maisha bora kwa watanzania????
ReplyDeleteHi Michuzi! Usibane hii kaka
ReplyDeleteWewe ni Gogo, sijui kama umenielewa? Tukiwa primary vyoo kama hivi vimetandazwa magogo. sasa yale magogo yanaona kila kitu na kufahamu, hivyo basi yangeeleza kila kitu.
Kwa picha hii wewe ni Gogo. Lkn imeeleza utekelezaji wa ILANI ya CCM, Maisha bora kwa kila Mtanzania.
Usibane hii
ndo maisha yetu yakhee washangaa nn?tumeyazoea hayo kwetu sema nyie wa mujini ndo mwashangaa utafikili watoto wa vigogo...siku moja nasi tutafika tu
ReplyDeleteacha kudharau wakunga na uzazi ungalipo
Mwenyezi tulinde
Ah, I had not seen this
ReplyDeleteYou seem to show some relief in your face, had you been drinking too many cups of tea?
Tahadhari sana unaponanihii kwenye nanihii ya nyasi kama hiyo, ikiwa pana mijusi kafiri, utajuta, kwani wao ni ngariba pia