ankal akinanihii kwenye nanihii ya paspoti saizi huko vijijini wiki hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. When you gotta, you gotta go! Picha nzuri!

    ReplyDelete
  2. maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  3. Duh! Salaaahe! Haya Michuzi halahala tahadhari na nyoka humo asije kukurupusha pasipo kumaliza haja na suruali imekuzonga miguuni:-( Navimanya sana vyoo vya manyasi na mironge kwa nyoka:-) Japo raha zake ni kuwa 'unashusha' huku unapata hewa saaafi mwananana:-)

    ReplyDelete
  4. hahahahahaha!!!!

    ReplyDelete
  5. umenikumbusha kijijini kwetu

    ReplyDelete
  6. kaka michu mambo niaje?kuna taarifa mpya imebidi nikurushie hapa Iringa tumeshuhuudia ajali mbaya sana ambayo imesababisha msanii wa kizazi kipya kuvunjika mguu msanii huyo ni SQUIZER

    ReplyDelete
  7. Nataka kujua Ankal hapo ni wapi kwenye hiyo paspoti size.
    Na ulikuwa unananihii au una nanihii?

    ReplyDelete
  8. Duuuh! Kaka hiyo imenikumbusha miaka ya tisini ndiyo kwanza nimeanza kazi ya uandishi nikitokea DTV kwenda RTD. Nikatumwa kwenda kuandika habari za mwenge uliokuwa ukikimbizwa mkoa wa Pwani. Basi mzee kwa mara ya kwanza niliichukua snepu ya passport size hadi leo ninayo hapa Ughaibuni. Nashukuru kwa kunikumbusha fani ktk mazingira ya kwetu. Nimeifurahia hiyo.Wasalaam mdau wa G kubwa ya jamii.

    ReplyDelete
  9. Kwetu shwari tu mjomba,si ndio maisha bora kwa kila mtanzania haya.

    ReplyDelete
  10. ahaahahah i love it safiiii sana

    ReplyDelete
  11. na hiyo ina unafuu maana zipo ambazo pembeni hakuna nyumba ya bati nzuri kama hiyo. hao hapo wavivu tu kujenga choo safi ila kuna maeneo ambayo kuona tu I mean kuona nyumba ya bati you have to walk long distance men just to see one. miaka 50 hiyo baada ya uhuru.

    ReplyDelete
  12. Mdau wa 09:41:00

    Nakuunga mkono maana haiwezekani ankal awe anakata gogo akiwa amesimama,hapo na wasiwasi alikuwa anananihiiii !!!

    hehehehe,uwiiii mbavu zangu......

    ReplyDelete
  13. We ankala angalie using'atwe na nyoka ustawi wa jamii nyasi na nyoka haviachani bwana

    ReplyDelete
  14. Aisee chunga nyoka huko. Kuna jamaa kule Mererani Arusha aliwahi kung'atwa kende zake wakati akipuu kwenye choo kama hicho. CAREFUL

    ReplyDelete
  15. Hii safi sana huna haja ya bathroom ventilator hapa.

    ReplyDelete
  16. Sijawaelewa wadau,kunanihii ndio kufanya nini?au ndio kupiga MastaB***?Kama ndio hivyo huyu anko hadi kampeni zeshe atakuwa amepinda mgongo.

    ReplyDelete
  17. ankal una mambo kweli!!

    CCM oyee.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  18. Mjomba unanikumba sha mbali sana. Tulijenga sana hivyo vyoo mashuleni na nyumbani pia. Ndoo maana huwezi sikia kuna kipindupindu vijijini. Adui mkubwa ilikuwa kimbunga na omba usiwe unaenda haja namba 2 na kimbunga kikukuta hujamalina ujajutia.

    Ukweli shida ndoo njia maendeleo. Tulichoka kukata nyasi na kuamua fyatua tofali. Kweli tumetoka mbali.

    Muhigo.

    ReplyDelete
  19. Je hizo nyasi ndio maisha bora kwa watanzania????

    ReplyDelete
  20. Hi Michuzi! Usibane hii kaka

    Wewe ni Gogo, sijui kama umenielewa? Tukiwa primary vyoo kama hivi vimetandazwa magogo. sasa yale magogo yanaona kila kitu na kufahamu, hivyo basi yangeeleza kila kitu.

    Kwa picha hii wewe ni Gogo. Lkn imeeleza utekelezaji wa ILANI ya CCM, Maisha bora kwa kila Mtanzania.

    Usibane hii

    ReplyDelete
  21. ndo maisha yetu yakhee washangaa nn?tumeyazoea hayo kwetu sema nyie wa mujini ndo mwashangaa utafikili watoto wa vigogo...siku moja nasi tutafika tu
    acha kudharau wakunga na uzazi ungalipo

    Mwenyezi tulinde

    ReplyDelete
  22. Ah, I had not seen this
    You seem to show some relief in your face, had you been drinking too many cups of tea?
    Tahadhari sana unaponanihii kwenye nanihii ya nyasi kama hiyo, ikiwa pana mijusi kafiri, utajuta, kwani wao ni ngariba pia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...