
Mwisho pia aligusia suala la maandalizi ya harusi yao na Merry mara baada ya yeye kumvisha pete ya uchumba mrembo huyo ndani ya jumba la BigBrother. Mwisho amesema kuwa kwa sasa hawezi kuzungumzia lolote juu ya hilo,kwani jambo hilo linawahusu wote wawili (Yeye na Mchumba wake) ,hivyo si vyema kulizungumza ama kulitolea maamuzi akiwa peke yake,anasema na kuongeza kuwa kama angekuwepo Merry angeweza kujibu chochote juu ya hilo wote wakiwa pamoja,hivyo hawezi kusema lolote juu ya mipango yao ya ndoo kwa sasa..
Mh kashamwaga huyo, ile ilikuwa zuga tu ili apate ushindi. Mwisho rudi zako Moro kauze viatu tu. si tulisikia ulimuoa Ray C kwa siri sasa talaka ulimpa au? Jamaa unapenda sana attention wewe, sikufagilii wala nini.
ReplyDeletejamani zungumzia kuhusu ulivyoona mambo yalivyokwenda acha uzushi vitakuridia baadae watu hawsahau.
ReplyDeleteJamani acheni wivu ndugu yetu afadhali katutangazia jina la tz sio kama vile mlivyomfanyia hashim thabit, hata hajashinda mmemkaribisha kila pahali ona sasa alivyotuangusha...............
ReplyDeletekaka mwisho achana na watu hawa wenye majiba ya roho, do you.
Hivi hilo jina la mwisho ni lake la kweli au? na anatoka wapi huyu mkwamis? mi niko ugaibuni nataka kumwalika, kama kuna yoyote ana data zake tafadhali chapa.
ReplyDeleteNB: mi ni wakili na niko singo hehehe
we mwisho ulevi ndio unakuponza... ukiacha pombe with those looks utafika mbali..
ReplyDelete