Frank Akiwa Na Miss Nubian Uk 2010 wakati wa kampenikikosi cha urban pulse kikiwa na spora pamoja na washiriki wa MISS Africa South Yorkshire 2010 ambao pia ni wawkilishi wa Malaria.

Urban Pulse Creative imepata fursa ya kukutana na wawakilishi wa Malaria Hapa Uk ambao pia ni washiriki na waandaji wa Miss Africa South Yorkshire pamoja na Miss Nubian UK ili kuunga mkono mchakato wa Urban Tour itakayo mshirikisha Diambond na Miss Ze Fyah Sis kutoka Urban Pulse ili kuchangia vita dhidi ya Malaria.
Tour hii imedhaniwa na Aset.

6th NOVEMBA

CLUB OPUS

Theatre Distric

Savoy Cresent

Milton Keynes MK9 5UP

12 NOVEMBA

THE CLUB

179 – 183 London Road

Croydon, London

CRO 2LR

27 NOVEMBA

PANAMA BAR

Gas ST

Birmingham

B1 2JT

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 00 44 78655 94576
or email
urbanpulsecreative@googlemail.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...