Home
Unlabelled
zitto kabwe afanya harambee sumbawanga, amnadi mgombea wa CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uncle, nakupa hongera leo umeweka picha za kutosha nadhani sasa umeanza kuyakubali mambo.Asante sana na mbona picha za akina Dovotwa, Rungwe, Peter Mziray na Mutamwega hutuwekei.
ReplyDeleteKazi nzuri Zitto unaupendo wa mshumaa vipi jimbo lakao
ReplyDeleteOh my God! Kama mzee Yamsebo amegombea ubunge Sumbawanga, basi CCM wasahahu hicho kiti. Na hivi mzee Kimiti amestaafu, basi jimbo ni la CHADEMA. Mzee Yamsebo ni mtu mwadilifu, amekuwa mkuu wa shule za Mazwi, Kantalamba high school, na mwenyekiti wa Wakuu wa shule za sekondari Tanzania wakai fulani. Nimefanya naye kazi nikiwa Teaching Practice shuleni kwake, nikajifunza uadilifu alio nao huyu mzee. Ni mtu asiyejua kujidai kwa madaraka aliyonayo, na anajua kupanga mambo. Sumbawanga wakimkosa huyu mzee, watajutia.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania.
Tuchague kiongozi bora, na siyo chama.
Mdau,
USA.
Picha za chadema unapiga close up (kwa ukaribu) ili tusione idadi kubwa ya watu waliohudhuria, mwaka huu kaka umetia aibu sana...Ndo uhandishi wa habari sahihi kwa nchi yetu huu, jitahidi zaidi na zaidi, Slaa akiingia madarakani imekula kwako...
ReplyDeleteWingi wa hizo jero jero (500/=) unaonyesha kuwa wa-TZ wengi ni wa hali ya chini. Hapo ndio wamejitolea mpaka mwisho wa uwezo wao!!!
ReplyDeleteWanachadema akili zao hazina akili picha za Chadema mkiwekewa mnapinga msispowekewa mnalalamika nyie hamnazo kweli ila wee Mithupu mbona unabania picha za CUF na TLP?n.k
ReplyDeleteYamsebo hupiti ng'oo, hata akiwanga usiku hatumchagui. Fipason.
ReplyDeleteHivi nyie CHADEMA vipi? Unamtoa mzee Kimiti halafu mnamleta mzee mwingine? Vijana wa Sumbawanga hatumpi huyo. CCM OYEE
ReplyDelete